Recent content by Vendetta

  1. V

    JamiiForums Tanzania Majibu kutoka kwa HR wa Viettel Global Investment (Viettel Tanzania)

    Hawa watu kweli wapo na wanakaribia kuanza kuwaita watu mie binafsi nimeishawahi kufika mpk ofisini kwao lakin kuhusu scale zao sio mbaya sana we subiria tu wakikuita ndo mtakubaliana.
  2. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

    Kaka si unajua tena mkuu wa chama nae elimu ni ndogo then awaongoze watu wenye shahada zao sijawahi ona duniani.Babu yetu nae ameshikwa masikio mpaka hurma.
  3. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

    Ukweli kuhusu Zitto na Mbowe mnaujua,Washabiki wa Mbowe acheni ukibaraka jengeni taifa kwa kuwa wazalendo pesa ndio zinawafanya muwe hivyo?Zitto is innocent na hilo mnalijua.
  4. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

    Chama makini wapi?Watu hawataki kuachia madaraka na huku walikubaliana hivyo mwaka 2009 tena wakasign kbs kuwa 2014 utagombea we uenyekiti,matokeo yake uenyekiti umekuwa mtamu na matokeo yake anatengeneza matabaka ndani ya chama ili kuwagawa watu ili kumchukia zzk na kumtengenezea mazingira...
  5. V

    JamiiForums Tanzania JK usiingizwe mkenge, Muswada huu ni majanga

    Hapa rais atumie busara ya hali ya juu ili alinusuru hili taifa kuingia kwnye machafuko.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Rwanda, Uganda zajitoa Bandari ya Dar

    Mwanzo wa kuanguka kwa EAC huo.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Wilbrod Slaa yupo Ifakara leo

    Si bora Dk Slaa anazungukia ndani ya nchi yake kuwaelimisha wa Tz kuliko mzee wa bagamy?Tuwe wazalendo kwa wale wanaosubutu hata kujitolea kutoa elimu ya uraia?Nchi imefika pabaya jmn amkeni watz.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Pinda ndani ya jiji la Mwanza mgogoro wa Ilemela

    Mambo ya nchi hii bwana,kwani huyo matata si alikuwa chadema?akaleta ujuaji alafu leo analeta fujo atapotea kwenye siasa kwa sababu ya unafiki wake.
Back
Top Bottom