Recent content by venancehamza

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu umechelewa, nikomae na waajiri au nikomae na Benki?

    Kwa nature ya kampuni yetu huyo boss wangu nae atamrudia HR tu. Asante kwa maoni kiongozi, yatafaa wakati mwingine.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu umechelewa, nikomae na waajiri au nikomae na Benki?

    Wakuu, shukran kwa maoni yenu. Nimekomaa na mwajiri tayari kibunda kimesoma. Ikiwapendeza Moderator wafunge uzi .
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu umechelewa, nikomae na waajiri au nikomae na Benki?

    Fafanua kidgo kiongozi, makosa kama yapi hasa?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu umechelewa, nikomae na waajiri au nikomae na Benki?

    Kwema Kuna changamoto nimeipata kwangu ni mpya na sielewi niitatue vipi au niende wapi ama napaswa kusubiri. Ni kuhusu malipo ya mshahara wangu, wenzangu walilipwa mapema kabisa mwezi huu. Mimi sikulipwa, nikafatilia nikaja kujua kua walikosea account ya malipo, kwenye account number yangu...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Achana nae huyo, she's guilty of what she's doing. Ni msagaji na anasema kaolewa
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Kuna kitu hakipo sawa kwako. Asante kwa kushiriki, nimepokea maoni yako.
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Acha kabisa kaka, nashangaa sana watu kubeza ilhali kila mtu ana njia yake ya kupata mwenza. Iwe kazini, nyumbani, mtaani, kanisani, masikitini, mtandaoni kama mimi yaani popote. Ila aloo napokea kashfa za aina mbalimbali.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Kaka pamoja na hicho kitengo kuna ndgu zako wanauliza kama kuna nafasi huku. Hakika kimfaacho mtu chake mkuu 😂😂
  9. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mkuu nimepost, wewe ndo umekuja kureply, napokea ushauri wako but still unaniandama. Shida nini? Unataka kuolewa na una mtoto??
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Seran na Napita mkuu.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Asante mkuu.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Ndio kimbilio lenu girls, mkipewa jibu sahihi mnaita "mipasho". Umecatch feelings wewe mkuu, am normal. And Yes, nakujibu vile unakuja. Sina multiple ID, kama unahisi ninayo nyingine waombe mods waiunganishe.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Watu humu hawaelewi kiongozi, wao wanadhani ukiandika unahitaji mke basi wanadhani huwezi tongoza watoto wa elfu 2 😂😂.
Back
Top Bottom