Recent content by VEN Ken

  1. V

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini serikali hii fake inateka watu

    Huo ndo uhalisia Madaraka matamu ,watu wapo tyr Kwa lolote hata kuua
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jeshi la kizalendo linatakiwa kulinda demokrasia sio Mafisadi

    Katika ulimwengu tuliopo Ili uwe na aman sahau haki na hyo demokrasia , walimwengu wanataka maisha mazuri hata Kwa kuua wengine
  3. V

    JamiiForums Tanzania Tujiulize Kwanini serikali hii fake inateka watu

    Ulimwengu ambao walimwengu waliomo ndan yake lazima kwanza ujue asili ya walimwengu n kutawala na kuwa hodar Zaid ya wengine katika mfumo wa namna hii iwe n kwenye familia ukoo mtaa wilaya had taifa lazima wengine waangamize wengine Ili waishi maisha Bora Zaid ya wengine, hlo n jambo la human...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Tusipopambana na watu wanaowaharibu watoto wa kiume kuanzia ngazi ya familia hatutaweza kupata matokeo yoyote kwenye kampeni ya kulinda migongo

    Mamlaka za mawasiliano zijithahid kudhibit page au picha zinazoinfluence homosexuality tutakuwa tumepunguza Kwa kiwango flan
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tusipopambana na watu wanaowaharibu watoto wa kiume kuanzia ngazi ya familia hatutaweza kupata matokeo yoyote kwenye kampeni ya kulinda migongo

    Sjakataa hyo hoja kwamba huwa wanaharibiwa na watu wanaowamin Tena wakaribu ,mm nilichosema pia n kwamba homosexuality pia Inaongezeka Kwa sabab pia ya mitandao kuhamasisha na watoto kuiga wanachokiona mtandaon
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tusipopambana na watu wanaowaharibu watoto wa kiume kuanzia ngazi ya familia hatutaweza kupata matokeo yoyote kwenye kampeni ya kulinda migongo

    Ushoga unaanziaa kwenye mitandao michafu ya picha za ngono watoto hujifunzia huko ,ushoga pia inaletwa na jamii Kwa kuwalea watoto wa kiume katika mazingira ya kuwahurumia sana na kuwadekeza ,jamii inapaswa kubadilika kwanza mtoto wa kiume ajengewe misingi imara ya kuwa mpambanaji tang akiwa...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Nafikir post yang imeeleweka mambo ya watu kuzaliana hyo n nature hata Kwa viumbe vingine,,ninachozungumzia hapa n mifumo ambayo tunaish nayo,,,post inaeleweka
  8. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Shukran nafurahia mijadala huru ya kujenga
  9. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Ase pesa Inafanya watu katili,sb kills for money and Fame and power n hatariii
  10. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Mazingaumbwe tenaa ,kwamba tunayaona sio real🤣
  11. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Duh n mtazamo kwel au n uhalisia ,kwamba dunia Ina aman ,Ina mtiririko wenye utulivu na furaha mh sidhan ase emb nieleweshe,inawezekanaje damu kumwagika ,inawezekanaje watu kutumikisha wengine isvyo sahihi Kwa maslah ya kiuchumi Yan how comes useme n mtazamo
  12. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    N kwel km usemavyo tang zaman ghasia ,uovu na Kila aina ya kelele zipo lakn sio kwamba hik kizaz n too much au n technology ndo inachangia taarifa kusambaa Kwa haraka? Nawza tu
  13. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Doh kwamba maandiko yanatimia,ila mm nawaza Tang kale maisha ya ghasia na machafuko yalikuwepo lkn n technology ndo unafanya tuone yanakithir au?
  14. V

    JamiiForums Tanzania Dunia imechafuka

    Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuacha chuo naombeni ushauri

    Ha ha hii dunia Haina huruma kamanda ww Fanya unachoona n sw😄😄😄😄
Back
Top Bottom