Recent content by Vege

  1. Vege

    Mwanza: Mamlaka zimeshindwa kujenga kibanda cha abiria kusubiria usafiri kwenye kituo cha daladala cha Nata?

    Wenye makampuni ya mabusi wanunue maeneo hapo wajenge stendi zao ili kuepusha usumbufu na sio lazima mabusi yote yaishie nata yanaweza kwenda hadi mabatini ili kusudi msongamano upungue
  2. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

  3. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Ngoja yaendelee kuongezeka
  4. Vege

    Mall mpya Jijini Mwanza ni kituko cha karne

    Anatuchafulia jiji tu Kulikua na vibanda kavunja kajenga vingine sa ndo nn
  5. Vege

    Mall mpya Jijini Mwanza ni kituko cha karne

    Afumue tu Hivyo vibanda akajenge buswelu
  6. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Safi sana
  7. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Ni pesa nyingi sana
  8. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mpango ni mzuri ila utekelezaji wake lazima uwe wa kusuasua tu.
  9. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Dodoma na arusha wanausafiri mbaya sana ,hususani arusha vifodi vyao vimechoka sana Jiji ambalo lina usafiri wa public mzuri ni mbeya costa zao ni safi na speech za makondata ni nzuri
  10. Vege

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mbona ni mapema sana
  11. Vege

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hahahaa, jamaq anatia huruma, ana chuki na kanda yenye mchango mkubwa tz
  12. Vege

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kashindwa kujibu kabisa 😀😀😀
Back
Top Bottom