Recent content by VEDASTUS MAJURA

  1. V

    msaada kwa matokeo haya tafadhari

    Kijana Wangu kapata Geo-c Hist-c kiswahili -b bios -c English - d civics -e .he anaweza chaguliwa advance au ushauri nini a some .
  2. V

    Naomba mawazo yako kwenye hili swali tafadhali!

    rahisi tu hat kama kuna science na tech umuhimu wa learning theories kama behaviorist nk upo tu Ila sayansi inasaidia theory kufanya kazi .hapo ongelea mchango wa kila theory ktk kujifunza.
  3. V

    Nahitaji projector

    Nashukuru Niko Moro nakuja huko jumatano ofisini as ante kweli jf Lila kitu
  4. V

    Nahitaji projector

    nahitaji kujua wapi nitapata projector na bei zake kwa ajili ya kuendeshea semina na kufundishia.Asanteni
  5. V

    Nahitaji king'amuzi cha startimes T2

    ninacho kipya kabisa hakijatumika ,nilinunua dar kumbe ni tofauti na vitumikavyo moro hivo nikanunua kingine .hiki kinashika tanga ,dar,arusha,mwz na dom kwenye maelezo inaonyesha hivo ni pm au nipe namba yako
  6. V

    Kama una simu ya Nokia au Samsung yenye tatizo la software

    Mimi NINA NOKIA ASHA 202 LAKINI HAIWEZI KUDOWNLOAD PDF HELP ME PLEASE
  7. V

    msaada BACH YA ELECTRONICS AND COMMUNICATION ENGINEERING

    Nashukuru kwa michango yenu ila sio kwamba namsingizia mdogo wangu ,kijana yupo JKT kwa sasa ,nashukuruni sana kwa msaada.
  8. V

    msaada BACH YA ELECTRONICS AND COMMUNICATION ENGINEERING

    Waungwana naombeni msaada mdogowangu kachaguliwa kozi hii vipi ndugu zangu katika maisha ya kibongo anaweza ikamfaa,sina maarifa kuhusu kozi za eng. please.
  9. V

    msaada pliiz

    Jaribu kuangalia kwenye www.sjuit .co.tz,kama kuna taarifa mpya,waliotoa.
  10. V

    Bachelor of education in special needs.=msaada tafadhalini

    Kazi zake zipo katika mashule ya watoto wenye mahitaji maalum karibu katika kanda zote za tz,uhakika wa ajira upo kama ilivyo kawa walimu wengine,field huwanywa katika shule hizo hizo ili uwezejua mazingira halisi ya kazi ikiwa ni pamoja na changamoto zilizopo.MWISHO Honera kwa kuchaguliwa kozi...
  11. V

    Wale wa st. Joseph arusha campus

    Angalia kwenye email address uliyotumia during application to tcu.
  12. V

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Nimependa picha hizo naona kama zamani watu walikuwa makini katika mipango miji na usafi nini kilitokea hadi hali ya sasa ya majiji yetu?
  13. V

    st marks.....tawi la st johns

    Ingia website ya st John unv kisha kuna sehemu wameandika st Mark bofya hapo utapata kila kitu
  14. V

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    Nashukuru wote mliotoa michango yenu kuhusu afya,mimi na muulizaji natumai mmetusaidia .
  15. V

    Wanafunzi wa Kisabato Wafukuzwa TEKU kwa Kukataa Kufanya Mitihani Siku ya Sabato naomba muongozo wa kisheria

    Suala la imani hutatuliwa kwa busara tu ,kuna vyuo vingi ambavyo vinawanafunzi wa kisabato lakini matatizo hayajitokezi mi ningeshauri chuo kiongozwe la roho wa Mungu na busara itumike kama baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa hata room /vyumba kwa wanafunzi wa madhehebu mbali mbali kuabudu.ASANTENI
Back
Top Bottom