Liobite
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 125
- 35
Msaada wana jamvi,naomba nifahamishwe hii kozi Bachelor of education in special needs ajira zake unafanya kazi wapi? na je,uhakika wa ajira upo? Pia nahitaji taarifa za field huwa wanafanyia wapi kwani naona shule zake ni chache sana hapa Tz. Mimi nimechaguliwa UDOM 1st year