Recent content by vdn

  1. vdn

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Hivi aliyewataja hadharani mapapa wauza unga sio shujaa na jasiri??? Hii ipo tz tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  2. vdn

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Wanaume wa dar hivi mmelikubali hili??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. vdn

    TLS kufutwa rasmi? mswada wakamilika kupelekwa bungeni

    Nauliza nielewe, kiukweli sheria ya uchaguzi ndani ya TLS inasemaje kuhusu sifa za wagombea???
  4. vdn

    Mbatia: Uhakiki wa vyeti feki uanzie kwa Rais na viongozi wengine

    Mbatia angeanza yeye halafu amwambie rais maana nae ni kiongozi!!
  5. vdn

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Bado na mimi mkuu 0625648017
  6. vdn

    Ndoa, umaarufu na pesa

    Members mimi huwa najiuliza kwanini wanawake waliofanikiwa kimaisha kwamaana wana pesa za kuendesha maisha yao, wanawake maarufu(aidha kisiasa,kimitindo au kisanaaa) huwa idadi kubwa hawaolewi? Tusaidiane mawazo maana wote tunaishi katika jamii na pasina shaka tunalishuhudia swala hili! Mawazo...
  7. vdn

    Zantel 4G

    Hivi wanajamvi ttcl wana line za kutumia katika simu ambazo sio za ttcl? Msaada
  8. vdn

    Hivi ni Vyuo vinavyoharibu Elimu ya Vyuo vikuu vya Tanzania

    Mwandishi unasafiria nyota tu! Vimbeni vichwa na udsm yenu wakati watu kutoka hivyo vyuo unavyosema hamna kitu ndio wanapeta kwenye usaili wa kazi kwa sasa! Kalagabaho na umwamba ule wa kizamani kuona mwamba kusoma pcm!!! Vyuo havina mantiki lengo la kila mwanachuo ni kuajiriwa au kujiajili tu...
Back
Top Bottom