Recent content by Vasco Dagama

  1. V

    Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

    Yaani hapa unataka tukufundishe kuacha pombe?? Then ukishaacha utakuwa unafanya nini sasa?? Kunywa chalii yangu usiache pombe tamu sana.... mie hata sasa lunch napiga bia mbili narudi job
  2. V

    Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

    Hii coment akiiona BP juu zaidi badala ya kupona
  3. V

    Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

    Pole sana mdada and GWS.
  4. V

    Wapendwa......................

    Happy Birthday hata kama nimechelewa
  5. V

    Bagia. . .

    Bagia za mchicha?? Ndo nasikia leo. Kweli wanawake mnajua kupika
  6. V

    Nina mkosi jamani…{msaada Plz)

    Huyo ni muoga au ni kitu gani kinasababisha lakini hii imekaa kama story
  7. V

    Sauti......................... ........

    Kweli kabisa wanaume kuwa na sauti kama ya mwanamke huwa inakosesha raha kabisa nilisoma na kijana mmoja hata mwalimu akimuuliza swali anaona aibu kujibu lakini mwambie kuandika atawashinda wote
  8. V

    Anajuuta kuchukua mume wa mtu

    Umesema vizuri sana
  9. V

    Anajuuta kuchukua mume wa mtu

    Asante sana kwa ushauri
  10. V

    Anajuuta kuchukua mume wa mtu

    Habari zenu. Nina rafiki yangu (mfanyakazi mwenzangu) yamemfika yakumfika. Amenisimulia visa vingi na mambo mengi ambayo nimemwonea huruma. Ni msichana wa umri wa miaka 25, alikuwa na boyfriend wake chuo akazaa nae na akamkimbia akalea mtoto peke yake......ni story ndefu ngoja...
  11. V

    Kubwa Kuliko...!

    Nafanyakazi lile jenngo la NSSF Building
  12. V

    Lipi ujinga zaidi???

    He watu watajuaje kama anavaa hiyo hiyo kwani havai suruali
  13. V

    kabakaba tunakuomba,unatuumiza!

    Wamekutuma uwasemee
  14. V

    Bad habits

    Mie za kwangu nitasema kesho sasa hivi nawahi Bar
Back
Top Bottom