Recent content by vanilla90

  1. V

    Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

    kulingana na swali la mtoa hoja, mpaka sasa kati ya hotuba zote mtangaza nia pekee ambaye ukiweka ushabiki pembeni na kusikiliza point baada ya point Prof. Muhongo pekee ndo alieongelea maswala yote yanayotatiza nchi kwa facts na kufafanua njia ambazo zinatekelezeka katika kujikwamua.....Pia...
  2. V

    Interview NSSF: Maswali 100 dakika 135

    binafsi nlifanya hyo test, ilikua fair enough kwa graduate ambae amejijenga vzuri kulingana na soko la ajira walau afanye 3/4 ya maswali....mfano section ya kwanza ambayo ni english ni kias cha sekunde 10 kupata jibu,section ya operation napo pia fasta huku unasave tym for math qstnz.. Kwahyo...
  3. V

    Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    website ya helsb haifunguki hii wiki sasa inakata kwa namna hioi tutajuaje kama majina yetu yameorodheshwa
Back
Top Bottom