Upinzani haujaingia bungeni kubishana km unataka kubishana nenda kwa Asha Mashauzi....... Kajipange upya uje na mada yenye mashiko kwa hapo umechemsha sn Tulia katetemeshwa na Ester itakuwa Lisu
kesho ni cku ambayo UKAWA imeitenga hakuna kupiga kampeni kuanzia diwani mpaka Mh President Lowassa ni cku muhimu kwa mtu muhimu Makaidi R. I. p kila kitu kinaenda kwa mipangilio co kukurupuka....... #mabadiliko2015 #najitambua2015 #ccmout #torokauje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.