Recent content by van_kassim

 1. V

  Gaming Desktop For Sale

  Fifa 20 ya pc naipataje?
 2. V

  Yajue maradhi yanayokusumbua kiroho! (Jijue kama umelogwa)

  Io aina ya sita ya maradhi tiba yake inakuaje mkuu
 3. V

  Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

  Msaada wa kukipata cha pdf
 4. V

  Je unamjua mtu wa kwanza aliyegundua simu ?

  When Alexander Graham Bell invented the telephone he had 3 missed calls from Zlatan.
 5. V

  Sababu za kwanini MaT.O (Tanzania one) hawafanikiwi kimaisha!?

  Kama unaamini kufanikiwa kimaisha ni kuwa na magari hela na nyumba hapo umefel na ndio wanaokufa kwa depression wenye izo mindset "I think everybody should get rich and famous and do everything they ever dreamed of so they can see that it's not the answer" jim carrey
 6. V

  Masada wa kuunlock WiFi rooter

  Nina WiFi rooter e5573 ya tigo nimejaribu kuiflash Kwa firmware inaleta error 19 anaejua kuziunlock Kwa njia nyengine msaada
 7. V

  Je, mitume na manabii waliopita kabla ya yesu na Muhammad walikuwa dini gani?

  basi yesu pia alikua msanii maana accrdng to bible alikua anaingia kwenye sinagogi katafute maana ya sinagogi afu uje hapa pia kabla ya kuabudu alikua anapaka maji kwenye kichwa chake mikono na miguu yke huo mafundi tunauita udhuu achana na hayo yote ujiulize alikua anamuabudu nani km yy ni mungu
 8. V

  Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

  bill cosby the guy is a genius... cosby show edie murphy angalia delirious na raw chris rock rich pryor huyu jamaa shida
 9. V

  Utajiri wa Diamond Platinumz wafikia Billion 8.6 za Kitanzania

  4 milion $ unataka kusema diamond ana pesa kuliko tyga? ni swali tu nimeulza nataka kujua so kwa ubaya
 10. V

  Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

  mnaongea na wa tanzania tumieni kiswahili ujumbe ufike sehemu stahili
 11. V

  What is the best evidence for evolution?

  hamna evidence coz mwenyewe darwin alisema kua hawez kuprov aliyoyasema kwake ni theory tu
 12. V

  Anavuma sana kwenye magazeti ya udaku udaku,na kununua tuzo lakini live jukwaani ni 0%

  ivi mtu ananunua tunzo na zile likes kule youtube ananunua pia?
 13. V

  Kupatwa kwa jua [Solar eclipse] - swali

  ndo mana huwa unauona mwezi katika siku 28 vipande vipande, huuoni sku zote upo full circle kutokana na position ya mwezi na dunia from sun, ikitokea eclipse mwezi unakua na postion ambayo siku ile hautakiwi uwepo
Top Bottom