Recent content by van de

  1. V

    JamiiForums Tanzania Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    kaka mbona unabagua umesahau polisi wetu kibiti na raia wa eneo hilo?
  2. V

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    karibu sana vijana lazima tusaidiane na tushauriane inapobidi. mimi gari zangu huwa naagiza moja kwa moja japan na Singapore.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Ukishalipia kodi TRA, unatakiwa pia kulipa kwa kampuni ya uwakala wa meli iliyokusafirishia gari yako wanaita Delivery Order Fees inarange kati ya US$70-US$120, pia utalipa gharama za bandari wanaita port charges hii inategemea ukubwa wa gari kwa saloon ni kati ya 250,000 mpaka 500,000, pia...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Mkuu ongeza model code kama unaifahamu, Mfano XU/GSU 40/45, ili upate figure sahihi
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wanaogiza Magari Japan, Kuweni Makini na Hii Kodi

    Mimi hapa sikubaliani na hizo hoja, kiwango cha kodi kiko wazi wala hakuna kificho tena unaangalia kwenye mtandao wa TRA moja kwa moja kabla hata hujaagiza gari, shida inakua moja, TRA wana Motorvehicle data base price kwa magari karibu yote, shida iko moja, kama gari yako customs value kwenye...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nimepata bahati ya kukaa meza moja na Bill Gates Tanga kayasema haya;

    Dah! ni kweli kabisa mimi mwenyewe imebidi nihangaike kivyangu, baada ya kukosa right guys, na nimefungua my own company, in a long run I will be someone, even getting manpower ni shida, people are not trustful nor hard working, guys we have a long way to go!!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mbowe aenda na jina la Msigwa mfukoni, Olle Sosopi atemwa

    usimtishe mtu wewe toa maoni yako kwani wewe ni mbowe au mtei?
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nataka kutapeliwa ama ndio nishakua millionaire?

    achana nao wala usiwajibu wasije wakahack information zako.
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    waongezee na instagram
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

    dah hii ni duh hii nimeipenda ilitakiwa nikupe like 2k!
  11. V

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    nawashukuru wote kwa ushirikiano na ushauri, nimepata msaada mkubwa sana, kupitia mitandao ya kijamii, nimeunganishwa na watu ambao kwa kweli ni msaada mkubwa sana kwangu kwenye shughuli ambazo nataka kuzifanya shambani, mungu awabariki.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    ni kweli shamba ni heka 7 lote linatakiwa liwe na mbogamboga na matunda tu.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wanajanvi habari zenu, nina ndugu yangu anataka kuanzisha kilimo cha kisasa cha mboga mboga na matunda hasa mapapai, ameshaanza kuchimba kisima kirefu kwa ajili ya umwagiliaji, swali langu ni kuomba kama kuna mwana janvi yeyote ambaye anafahamu soko katika nchi ya comoro likoje kwa uzoefu, kwani...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mfumo, Mizigo Yapungua Bandari DSM

    Bandarini kunahitajika marekebisho ya kina kuhusu uongozi mzima na watendaji zaidi ya 50% hawako competent, usishangae manager wa bandari (wharf) hajui maana na aina ya misamaa ya kodi? this is a shame!!! meneja haelewi anasababisha ucheleweshaji wa mizigo kwa uzembe halafu tunasema tuna watu...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela

    Sio tetesi tena ni dhahiri, kaingizwa chaka kaingia mzima mzima.
Back
Top Bottom