Kwa nilivyokusoma the soul behind hii ID ni moja ya watu wenye roho nzuri na pia hupendi ugomvi na huna kinyongo na pia ni mpole.
Yawezekana nimekosea ila huwezi kuua mtu unatania tu.
Kwa upande wangu itoshe tu kusema Muha wangu ni nyara na hazina ya taifa hili.
Muha wangu hunipa raha za kimwili na kiroho ambazo sijawahi na sidhani kama yupo mwanaume mwingine mwenye uwezo wa kumpa mwanamke raha hizi.😍❤️❤️🌷🌷🌷🥰😍😍
Kwa unyenyekevu Niwaombe tukae kimya sekunde 3 kama ishara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.