Recent content by Valence Cheti

  1. V

    Dread locks zinavyofanya wadada wazeeke sura

    Tuwekee picha tuone Ila nahisi zinawauma Atari Mana Kuna demu wangu siku moja nilimpa hela akaenda kusuka usiku tumelala akamka akaanza zikuna nakuuliza Veep akasema zinauma akazimwagia maji lkn wapi baadae akaanza Lia akasema nimfumue daa nilizikatakata vibaya mno na likisu Ila iliniumq balaa...
  2. V

    Social Works

    Hellow Habari wanaJF Napenda kuulizia ivi kozi ya ordinary diploma in social Works inahusiana na mfano ukisomea hiyo kozi unakuwa nanii na unafanya kazi kwenye kampuni au ofisi zipi. Naomba kuwasilisha
  3. V

    Natafuta kazi

    Habari WanaJF, Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya...
  4. V

    Msaada wa kuomba kazi

    Habari wanajamii forums Naomba ushauri wenu kwa wanaojua Sana au kidogo juu ya hiki ilimradi nipate dondoo ata kidogo tuu ni hivi nimemaliza chuo mwaka jana nilisomea course ya education(ualimu) Sasa Kama mnavyojua ajira ni ngumu wandugu na mtaani ni kugumu usiambiwe. Sasa katika pita pita za...
  5. V

    jamani nimechaguliwa chuo kwa course nisiyoipenda je kuna uwezekano wa kubadili course na kama ndio je course ya philosoph wanapata mkp

    Nmechaguliwa course nisiyoipenda je naweza badilisha pia watu wanaosoma philosophy and political science wanapataga mkopo anaejua tafadhali anisaidie
Back
Top Bottom