Recent content by Vakwavwe

  1. V

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    23! inasemekana mlikuwa mnatetea kata 25....mmepoteza mbili bado mnashangilia, duh kumbe mnaiogopa sana CDM. bandu bandu................? rekebisha daftari la wapiga kura kureflect reality, waacheni polisi wafanye kazi kama independent institution,acheni kuhonga wali na vitambaa wakati wa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Najikuta naanza KUIKUBALI CHADEMA..!

    no wonder unaitwa au unajiita Simbilisi....majina huwa yanamwakilisha mtu alivyo. kwa wafuga simbilisi watanielewa sana
  3. V

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Lakini mbona amekubali jamani, au mnataka akubali vipi? wenye kufikiria hata kidogo tu tunajiuliza maswali haya hapa chini 1. Mtu amekuuzia Landcruiser na hapo ni baada ya kukupa lift ukaitamani halafu unakodi Patrol? 2. Hiyo Patrol imekodiwa kweli? na kama imekodiwa kwa matumizi gani? kwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Inasemekana aliandika kwenye wall yake ya fb halafu akaifuta baadaye.....i guess alishauriwa na mtetezi wake
  5. V

    JamiiForums Tanzania Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    Nyumbani kwangu TV hiyo inayoitwa TBC hairuhusiwi.....ni sawa na kuangalia Porno! It is forbidden kwa msisitizo.napenda wageni ila mgeni anayeipenda TBC ugeni wake unakosa mashiko pale tu atakapodemand kuangalia TBC....na siyo hiyo tu kuna nyingine inaitwa Mawingu na radio yake....sasa hivi na...
  6. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Mtu ambaye hajaoa hana moral authority ya kuzungumzia ndoa za wengine!...at 37+yrs mtu hajaoa halafu eti fya fya kuhusu wengine. Halafu mambo haya ya ndoa mbona yanachanganywa sana na siasa, tunawajua wataalam wa kufanya siasa za namna hii, unapojumuika nao hatupati shida kukujua ni mtu wa namna...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    ha haa haaaaaaa! kumbe kamati kuu ilipomkatalia Kitila kujiuzulu ilipeleka ujumbe kwa watu wengi, i mean mamluki wengi!! hawa wote wanajua hatima yao....ukiona bosi wako ananyolewa mkavu live kimbilia kutia maji, they know for sure watanyolewa. kinachosikitisha ni kwamba yeye amekuwa na vyeo...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Prof Baregu: Siungi Mkono Maamuzi juu ya Zitto ila "SULUHU" ni njema

    SULUHU ya kitu gani? unatafutaje suluhu na mtu anayetaka kuua chama. hiyo itamaanisha kukubaliana kuua chama..... sitakuwa mmoja wawanao unga mkono upuuzi huo. Wasomi! wasomi bongo ambako prof anamiliki baa kuongeza kipato,mwingine anafuga Ngómbe,mwingine anapigia makofi na kushangilia mipango...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    .....kulipwa 50,000 ili uweze kuexercise haki yako ndo usukule wenyewe!!, huna maamuzi binafsi. ni hatari sana kwa binadamu kuishi bila utashi....watu kama akina K.A.P.U.Y.A wakikusikia kuwa unauza utu wako kwa 50,000 watakufurahi sana...and you probably know what will follow
  10. V

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    Mtu yeyote mwenye akili timamu na anajitambua hawezi kuside na akina Mwigamba, Ni waongo kwa wazi kwa sababu zifuatazo 1. Mwigamba alishaulizwa mara nyingi mpango wake na Zitto na alikuwa anakana hadharani-huu ni unafiki kwa kiongozi wa level yako(mwenyekiti wa Mkoa) 2. kwenye waraka M3 na M2...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mwigamba: Sitoki wala siombi radhi. Atoa ufafanuzi kuhusu Waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013

    kwani kumshambulia mtu kwa kumuambia ni mbumbumbu hana elimu hamna alichofanikiwa huku duniani ndo kumkosoa?? watu mnachanganya kukosoa na kutukana, Mbowe na Dr Slaa wanatukanwa na wafuasi wa zito. unachokieleza wewe ni tofauti kabisa, usidhani vikao vya CDM huwa ni smooth hivyo watu wanadebate...
  12. V

    JamiiForums Tanzania CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

    i thought you are busy defending Prof K, do you still have time for this? this is too big for Magambaz to comprehend! CDM is on its own level, compare it with CCM? no way!!!!
  13. V

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa sms za m-pesa kutoka kwa kapuya kwenda kwa binti

    kwani wakubwa wana line moja ya simu?...for your in4 wanazo za mitandao yote... the guy is dirty, very dirty and extremely dirty even in his home....History does not favour him, ni mtu wa kuharibu. kwa wanaomfahamu hawahitaji hata ushahidi kuamini hili jambo
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kampuni mbili za simu zagundulika kuibia umeme Tanesco - wafanyakazi 81 mbaronii

    Tanesco wanafanya mchezo wa kuigiza....usipoyajua haya unaweza ukawaamini. The issue ni kwamba, kabla ya wao kuintroduce automatic meter reading makampuni ya simu yalinunua meter ambazo zinaweza kuwa monitored remotely inclincluding kusoma matumizi. Baada ya majadiliano ya muda mrefu na...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Wabunge (CHADEMA): Chama kwanza utaifa baadae

    Si haba! Kwa kiinglish hiki naye analamba book 7 kwa siku kutoka kwa vilaza wenzie wa lumumba. Wabunge wanaosinzia na kusema ndiyoooooo pale dodoma wamekusaidia nini? pumba tupu
Back
Top Bottom