Habari wana uzi,naomba mwenye paper au kitabu cha Additional mathematics kwa kidato cha pili,nimejaribu kutafuta mitandaoni,tetea na kwingineko nimekosa,km unayo naomba share nami.
Ahsante.
Teacher is a source of all career .
Habari zenu wanajukwaa.
Mwaka umeanza kwa kufanya tathmini ya mwaka ulioisha na kubaini kwamba "business is un usual ", mambo yamebadilika sana na kumekua na haja ya kuongeza kipato na kupunguza matumizi yasio ya lazima.
Ninaomba nifahamishwe(nitajiwe Sio kufundishwa-nitatafuta jinsi ya...
Aisee nashukuru nimewapa dcp wapo vizuri now.
Nimeambiwa tatizo nlizidisha dozi ya esb3 nasikia inawasababishia ukizidisha. Now I am happy wananendelea vizuri japo wamekufa jumla wanne.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.