Recent content by UZZIMMA

  1. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kurudiana na X wangu baada ya miaka minane. Ushauri

    Wiki hii naenda kuoa ex wangu wa miaka 9 iliopita. Hatukuachana kwa usaliti bali utoto ulichangia kwa asilimia 90. Tulitafutana kwa muda mrefu na hatimae tumeonana na tunaona. Nampenda sana huyu kiumbe. Ngoja niitolee thread kwa hisia.
  2. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto nazopitia kwenye ndoa

    Kaka yangu, inaonekana umefika mwisho wa uvumilivu katika uhusiano huu, na ni jambo la kawaida kuhisi kuchoka ikiwa huelewani na mwenza wako. Kitu cha kwanza ni kujiuliza, unataka nini hasa? Kama huna tena hisia wala upendo kwake, ni bora kuzungumza naye kwa uwazi na kwa heshima. Usikubali...
  3. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Amejifungua lakini hataki niwaone watoto wangu. Nimshtaki?

    Kaka yangu, kwanza pole sana kwa hali unayopitia. Najua inavyoweza kuwa ngumu, hasa kama unaamini kabisa kwamba hao watoto ni wako na unataka kuwajua na kuwapa majina. Kwanza, ni muhimu utulize akili na usichukue maamuzi kwa hasira au maumivu. Kama kweli unataka kujua ukweli kuhusu watoto hao...
  4. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

    Pole sana dada yangu kwa maumivu unayopitia. Najua hili ni jambo gumu mno, hasa ukiwa katika hali ya ujauzito. Lakini tafadhali, usifanye maamuzi kwa hasira au maumivu uliyonayo sasa. Kwanza, jipe muda wa kupumzika na kutuliza akili. Najua ni rahisi kusema lakini jaribu, hata kwa siku chache...
  5. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS za kununua za benki ya NMB na CRDB

    Wengine hata hatujui POSI ni ni. Na zinatumikaje . Au zina jina kengine?
  6. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania MCL: Kiboko ya Wachawi aja na namna mpya ya upigaji

    Unaweza kutuma kwa ridhaa yako ila ikawa ni kwa njia ya utapeli au ulaghai.
  7. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jamani Mimi naumwa. Nimepima nikagundulika Nina upungufu wa like jamii forum. Nisaidieni japo like 500.
  8. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania Kama kazi yako nitaitaja hapa chini, nakushauri fanya toba ili kizazi chako kisilaaniwe

    Mengi ni uongo mtupu. Laana inakuja pindi ukitumia madaraka yako vibaya na sio kutekeleza majukumu. Askari magereza au mkuu wa gereza hana hatia hata kama mfungwa alisingiziwa kwa asilimia mia moja. Laana wataipata wale waliohusika kwa makusudi au kwa uzembe kwa namna moja ama nyengine hadi...
  9. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuchagua mwenza na uchumba unapaswa kudumu kwa muda gani kabla ya kufunga ndoa?

    Ijue historia ya mke wako mtarajiwa ipasavyo. Ijue historia juu ya familia yake, katika nyanja za kiuchumi, utamaduni, elimu, mapenzi, mahusiano ma watu wengine n.k. Baada ya kuoa si muda wa kutafuta historia tena.
  10. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa mwenzenu!

    ******* ndio waliwao.
  11. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa, hivi mliwezaje kukubaliana kutokushikiana simu kuepusha magomvi yasio ya lazima?

    Mimi sio kushika tu. Nataka hadi ku-hack.
  12. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

    Fafanua inavyofanya kazi.
  13. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

    Tafadhali mkuu. Naomba ufafanuzi kuhusu BB, kwangu ni msamiati mpya.
  14. UZZIMMA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Janga la VVU lakatisha ndoto zetu

    Kama ni mimi jambo hili siwezi kuomba ushauri. Mwanamke ambaye si muanifu anaweza kukuletea maradhi na kulea watoto ambao si wako. Si muanifu aachwe bila kupepesa macho. Rudisha pesa zake.
Back
Top Bottom