Recent content by uzio usio onekana

  1. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanajeshi mstaafu afunga barabara ya mtaa akidai ni kiwanja chake

    Hayo ndio madhara ya wanajeshi toka ameajiliwa hadi anastafu hajawahi kuingia vitani, kwahiyo hapo mwili unamuwasha ameanza kutafuta vita ambavyo sio vya lazima.
  2. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania watembelea ofisi za JamiiAfrica, jijini Dar

    Tunashukuru wameona mchango wenu.
  3. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Viongozi wengine Wawili wa CHADEMA washtakiwa kwa Ugaidi

    Hawa wanatafuta sababu ya kuifuta chadema lakini sio watu wa chadema.
  4. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

    Mm naonaga wanajeshi wa bongo ni kama wanakula hela za bure kwa sababu mm huwa naoma hamna kazi wanayofanya.
  5. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, Julai 27, 2026

    Wanafanya kazi ya kuapishana tu na wajue ipo siku nao watapisha
  6. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Serikali ya Tanzania kutaka kukopa BoT kumeibua mjadala?

    Kama ni kweli na kwa hii serikali ambayo haina meno inajua uongozi ni kuua tu chadema, basi tutakuwa tumekwisha.
  7. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Je AI inaweza kuwa dini mpya?

    Kabla haijaja AI tulidanganywa sana na tulilipa ghalama kubwa, na nashukuru AI ilivyo kuja na imekuja wakati sahihi sana, na walio tudanganya watuonyeshe uwezo wa halisi wa kufikiria, na watafute namna nyingine ya kuishi.
  8. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Joshua Mollel umewasili nchini Tanzania

    Ahsante sana Israel kwa kutufundisha utu. watanzania kwamba maisha yetu yanathamani kiasi gani katika hichi kipindi ambacho tunapitia kipindi kigumu. Ambacho serikali fake ya samia imeua maelfu ya raia wake na maiti kuzikatalia. Na wakati huo mabaki mtanzania mwenzetu mmoja Israel imebadilishana...
  9. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Wadanganyika tuungane kwa hili kwa sababu Tanganyika kwa sasa ni kama koloni la zanzibar, Na ndio maana huyu mwanamke ametuua sana, Na itaendelea kufanya hivyo kwa sababu wazanzibar hawajawahi kuwapenda wadanganyika daima.
  10. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yalaani Uvamizi wa Ofisi za Jamii Forums, Yataka Ufafanuzi wa Serikali

    chadema ndio chama pekee Tanzania ambacho kimejijengea heshima
  11. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa sio halisia lazima tumepigwa

    yote inawezekana ila kwasasa Tanzania inahitaji akili kubwa sana,
Back
Top Bottom