Wewe haujitambui inaomekana una shida.ukiibiwa simu piga mtandao husika jitambulishe taja majina na namba zako za simu vzr wakojithibitisha kuwa wewe ni mmiliki zinafungwa chap.mm ishanitokeq kuibiwa simu nilipiga sinu voda na line yangu chap ilifungiwa
Kwa siku za hivi karibuni kumeibuka Wimbish la utekaji unaofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa ni wa vyombo vya ulinzi na usalama.alianza setiva akapatikana bahati nzuri makosa waliyofanya vyombo vya ulinzi na usalama hayatajirudia tena.sasa hv ukitekwa tu jua ndio bai bai mama jeni hutoonekana...
Hama unanja kila mwaka ni yale yale mnaenda tena mkijua wataboresha.wameshawafanya mjione vifaranga vya kuku kila siku mtanyonya kesho na kesho haifiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.