Recent content by Uzalendo wa Kitanzania

  1. U

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa malipo ya ardhi online haufanyi kazi wiki sasa hatuwezi kulipia kodi ya mwaka ya umiliki ardhi

    Kwako Mheshimiwa waziri wa ardhi na makazi mfumo wa wizara yako unaopatikana kwa njia ya mtandao HAUKO SAWA ndiyo maana tumeshindwa kupata control number kwa ajili ya kulipia malipo ya umiliki wa ardhi ya kila mwaka. Hati ya Umiliki ardhi ninayo nahitaji kufanya malipo, Naomba uingilie kati...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu kumpatia Trump ushahidi mzito mpango wa siri wa Iran kuendelea kutengeneza Silaha za Nyuklia

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, anatarajiwa kumfichulia siri Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kile anachodai ni hatua za Iran za kuendeleza tena mpango wake wa nyuklia katika eneo la Pickaxe Mountain, kwa mujibu wa taarifa ya gazeti la New York Post iliyochapishwa Jumatatu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yafikwa na upungufu mkubwa wa silaha

    kwa hiyo na ufahamu wako kabisaa unaamini hiyo habari?!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, imeanza safari kuelekea Marekani muda huu

    Hatimaye komandoo Benjamin netanyau yuko hewani muda huu ndani ya ndege maalumu ya kisasa anaenda kuonana na TRUMP ikulu ya white house. Wadau kaeni mkao wa kula kwani yajayo ya afurahishwa! . msiwe na hofu taarifa zote za huko white house nitakuwa nawaletea 🔴 🛑...
  5. U

    JamiiForums Tanzania BILL CLINTON Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi lakini hawakutaka kuwa na nchi yao bali kuua Wayahudi!

    RAIS WA ZAMANI WA MAREKANI BILL CLINTON ADAI KUWA Aliwapa Wapalestina ardhi yote ya GAZA na asilimia 97 ya Ukingo wa Magharibi wa mto Jordani (West Bank) lakini kiuhalisia Wapalestina hawakutaka kabisa kuwa na nchi yao wenyewe bali walichokitaka ni kuendelea kuua wayahudi
  6. U

    JamiiForums Tanzania hebu leo jaribu muuliza Msabato yeyote eti ni kweli Maria mamake yesu kabarikiwa kuliko wanawake wote halafu usikie jibu lake!

    wewe jaribu tu kumuuliza ila kuwa makini!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ni nguvu ya Roho Mtakatifu ndiyo maana kanisa la Wasabato ni kanisa pekee duniani ambalo waumini wake hawaami kwenda makanisani mengine

    Niwatakie Sabato njema enyi watu wote wa Mataifa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa maandiko matakatifu Ellen G. White wa kanisa la Wasabato ndiye Nabii wa mwisho duniani na hakuna Nabii mwingine baada yake

    Wadau tafadhali mjisomee biblia takatifu kwenye kitabu cha Ufunuo wa Yohana mtakuta ushahidi kamili huko, muhimu ukiwa unasoma omba roho mtakatifu akuongoze. She's the last prophetess
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ameangamizwa: Kamanda wa Hamas, Walid Haniya—ambaye anadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua watoto 10 wasio na hatia mbele ya familia zao

    AMEANGAMIZWA: KAMANDA WA HAMAS, WALID HANIYA—ambaye anadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua watoto 10 wasio na hatia mbele ya familia zao, na ambaye pia anadaiwa kumbaka kwa nguvu na kumuua mwanamke Mkristo ndani ya nyumba yake kabla ya kutupa mwili wake kwenye mfereji wa karibu—ameangamizwa katika...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Iran yadai haiwezi kuishambulia Israel sasa kwani kufanya hivyo kutamsaidia Netanyahu kushinda uchaguzi mkuu wa wa oktoba 2026

    Iran imeashiria kuwa haina nia ya kufanya mashambulizi dhidi ya Israel katika hatua hii, ikisema kuwa hatua hiyo itamuimarisha tu Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kisiasa kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba nchini Israel. Maafisa wa Iran wanadai kuwa Netanyahu anakabiliwa na shinikizo la kisiasa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Sanamu ya dhahabu ya Rais Trump kuwekwa Iran kwa heshima yake! . Ni baada ya Iran kuwa huru

    SANAMU YA DHAHABU YA RAIS TRUMP KUWEKWA IRAN KWA HESHIMA YAKE! . Wafuasi sugu wa rais trump wanapendekeza sanamu ya dhahabu ya Trump iwekwe mjini Tehran siku chache baada ya "kulikomboa" taifa hilo kutoka kwa utawala wa Kiislamu, ikiwa ni ishara ya amani mpya kati ya Washington na Iran. #MAGA...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wapi ulienda ukakuta ardhi bei ya kutupwa?

    mbona kwetu mara ni mbali lakini ardhi bei kubwa?
  13. U

    JamiiForums Tanzania wadau kisayansi nini hasa kinasababisha nguo ya ndani kuchafuka sehemu hiyo ?

    wadau karibuni jukwaani
Back
Top Bottom