Wenye majungu na roho mbaya sio kwenu t hata kwetu wapo achana nao Mkuu ndio maana Wazungu wakasema enzi za slavery kua wa African tuna nywele fupi ndio maana hatuwez kufiki**
Tuta Fanya exchange we unapnajw Mkuu[emoji57] [emoji19] [emoji19] waje si tuende me mpaka kuomba msaada Jamii Forums nsha think before I go na nsha G prepared kwa anything kitakacho happen to me so worry out am going to suffer with more plan to do sija kurupuka kiukwel 2 by the way Thanks coz...
Mkuu kuhusu kuka kihalali usiwe na hofu sina mpango wa kuingia kwa njia zisizo halali na ninaona mnaongea Sana kuhusu visa pia ondoen hofu visa yenyew watatoa tu hiyo hainitii hofu ila nilikua t nataka nijue ni sehemu gani nzuri ya kufikia na upatikanaji wa kazi ni mziri coz ukiingia kiharam...
Mkuu ukiwa na $1500 Kuna uwezokano wa kuishi Marekani hata kwa wiki maana kuna cheap hotel or guest for one night $40_50_58_60_75_mpaka $100 pia uwezokano waku survive kwa chakula kwa hiyo hiyo $1500 pia kuna zile nyumba za kupanga unakuta mpka $600_500_700_Kwa mwezi m1 tu
Chakula nacho kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.