1. Wakenya wanajua kiswahili na bàadhi yao hukitumia bungeni
2. Kikwete alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje kabla ya kuwa Rais= Anawajua wa Kenya. Na si mara ya kwanza kuwahutubia
3. Bomba la gesi hata asiposema ni mojawapo ya miundombinu ambaya EAC imwkubaliana ku share
4. Kama wakenya wangepewa...
Mimi nadhani hapo umejichanganya. Unasema lakini tusidanganyane....mazingira ni rafiki kisha ...huko vijijini mazingira si rafiki kabisa...Siku hii ni kwa nchi nzima hadi kule ambako shule hazina hata choo. Lets be realistic. There is a problem.
1. Ni kweli kwamba matumizi ya gesi ni rahisi kuliko petroli
2. Kuhusu madhara nadhani unahitaji ushauri wa kitaalamu zaidi kulingana na gari lako. Mradi huo husimamiwa na TPDC na ukiwekewa unapaswa kupewa certificate
3. Yapo magari machache hapa nchini ambayo yanatumia gesi. Hivyo hata vituo...
Mimi nimelipenda hili tangazo kama lilivyo japo sipendi mtandao wa Tigo. Utaalamu mbali lakini wengi tusio wataalamu tunalipenda. Just for the humour it carries. Hongera Tigo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.