Recent content by Uwazitu

 1. Uwazitu

  Simbachawene: Polisi inalishughulikia shambulio la kutumia silaha kwa Tundu Lissu kama uhalifu mwingine na upelelezi unaendelea

  Simbachawene, inua macho yako juu, mwombe Mungu wako wa KWELI ayape KIBALI maneno yanayotoka kinywani mwako yasiwe ya kinafiki
 2. Uwazitu

  New TARURA Parking Fee System inaenda kuwa aina mpya wizi na uonevu

  Hizo ni MBINU za waziri wa fedha za kuongeza mapato ya Serikali.a
 3. Uwazitu

  CAG Mstaafu Ludovick Utoh: Kuna ukakasi kusema Rais ametoa hela inapaswa kuwa Serikali imetoa hela kutekeleza miradi

  Hapana. Inajenga KIBURI na anaona yuko juu mno. Kama iraendelea hivyo, Bunge lisiwe linajadili Bajeti ya Serikali wamwachie Rais afanye inavyompendeza yeye.
 4. Uwazitu

  Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

  Kidume chako kiko wapi kwa sasa? Chuma hakina ujanja mbele ya kutu.
 5. Uwazitu

  Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

  Aligeuka akalala kifudifudi ,(akalalia tumbo) hivyo mguu wake wa kulia ukawa upande wa wasiojulikana wanaojulikana.
 6. Uwazitu

  Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

  Hata Madiwani, Wabunge, Makatibu Wakuu, Mawaziri na Rais KUANZA na Mheshimiwa inakera sana. Ina maana Watumishi wa kada zingine hawapaswi KUHESHIMIWA? NAKUMBUKA KUNA WAKATI MWL. NYERERE ALIFUTA (ALIKATAA) NENO MHESHIMIWA AKAELEKEZA NENO NDUGU LITUMIKE ILI KULETA USAWA NA UPENDO.
 7. Uwazitu

  Sasa Mbowe kutetewa na Mawakili zaidi ya 390, hii ni baada ya NCCR Mageuzi kuongeza jopo la mawakili 4

  Hakupelekwa mahakamani. Aliuawa. Angepelekwa mahakamani angeshinda kesi.
 8. Uwazitu

  Rais Samia Suluhu kama utatawala kwa kutokuzingatia haki, HAKI halisi itahitimisha safari yako utawala

  KWA HILI LA MBOWE HAKI ITENDEKE. EWE MWENYEZI MUNGU IDHIHIRISHE HAKI KATIKA HILI.
 9. Uwazitu

  CCM inaogopa Katiba Mpya zaidi ya maambukizi ya COVID-19

  HAO WANACHADEMA SIYO WANANCHI (WATANZANIA)?
 10. Uwazitu

  #COVID19 CHADEMA: Chanjo ya COVID-19 iwe ya lazima

  HIVI KWELI KWAMBA MBOWE HAKUONGELEA HIZO TOZO ZA KIDHALIMU KWA WANANCHI AMEONGELEA KORONA TU? MBOWE, MBOWE, MBOWE HUKUSIKIA KILIO CHA WATANZANIA KUHUSU HIZO KODI ONEVU, ZA MANYANYASO NA DHULUMA?
 11. Uwazitu

  Freeman Mbowe kulihutubia taifa 19 Julai, 2021

  Mwenyekiti wa Chama Taifa.
 12. Uwazitu

  Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

  Ni utoto unakusumbua, ukikua utaelewa kwa nini ameenda Mwanza. HEKIMA NA BUSARA IMETUMIKA. MWAKASEGE alipata habari za KIFO cha mwanae Joshua akiwa jukwaani Mbeya, hakuahirisha kipindi mpaka baada ya kukamilisha kipindi. HEKIMA NA BUSARA ILITAWALA. KWA HILO BABA YENU MDOGO FREEMAN MBOWE...
 13. Uwazitu

  Rais Samia kabambikiwa sakata la Mwanza?

  Kuwa na KATIBA imara na yenye msimamo kama MSUMENO wa kula mbele na nyuma (kwa watawala na watawaliwa) KATIBA itakayo elekeza cha kufanya na kuadhibu kila upande(watawala na watawaliwa) KATIBA itamke wazi kuwa "Mtu yeyote (mtawala na mtawaliwa) atakaye tenda tofauti na MATAKWA YAKE adhabu yake...
 14. Uwazitu

  Dr Mwigullu: Bajeti ikishapitishwa na bunge ni Sheria, sitaweza kubadili chochote kwenye Tozo!

  Kwa hiyo Wananchi wachukue / wafanye UAMUZI kama kwenye SAKATA LA BEI YA MKATE HUKO KWA WENZETU WAJANJA?
 15. Uwazitu

  Kuhusu Miamala na Tozo: Naenda kufungua kesi mahakamani

  KAMA KUPANDA KWA BEI YA MKATE HUKO KWA WENZETU KULIMWONDOA RAIS MADARAKANI, WATANZANIA NI MABWEGE KIASI GANI TUNABAKI KUKALAMIKA TU KUHUSU HII TOZO?
Top Bottom