Recent content by uvungu

  1. uvungu

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Haaaahaaaa Goodmorning partner msitutanie nyie mkija kudikilizwa huwa hamuwaachi watu waamue mnakomaa nao mm wamekomaa na mm sitaki mwaka mzima wananifuata tu
  2. uvungu

    Hivi ukiulizwa kwanini unaoa kwa karne hii utajibu nini?

    Adam hakuwa na akili? IPO siku yako nawe hutakuwa na akili
  3. uvungu

    Mke wangu kanitenda, naomba ushauri

    Aisee kwa uvumilivu huo pepo yako mkuu mmm Sina utani na hivi viumbe mm mke wangu tuligombana tu akaniambia atatoka kingono nje ya ndoa aisee hiyo kauli tu ilitosha kumtimua a talaka juu ikafuata mahakamani na Ni ndoa ya kikristo Sasa wewe muislamu unaogopa nn au unalishwa na mama. Mchelea mwana...
  4. uvungu

    Natafuta mwanamke mweupe, nampataje?

    Mimi nimemuacha nikupe namba zake? Maana mm nataka mweusi
  5. uvungu

    Moyo unauma sana

    Kama upo serious tafuta namba ya mme wake mtumie text iandike hivi kaka samahani mchukue mtoto nenda kampime DNA alafu subiri majibu
  6. uvungu

    Moyo unauma sana

    B mbona kunapigwa Sana mkuu
  7. uvungu

    Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

    Ushawahi kufuatilia baba wa Imani Ibrahimu sisi Ni Nani tusimfuate baba yetu, mlitaka tuwe Kama Yesu?
  8. uvungu

    Mke anapenda kukasirika kila mara, nimfanye nini?

    Swali la kwanza Ana tako? Kama analo Basi washa makofi na Kama Hana tako fukuza maana wanawake wembamba Ni tatizo na inawezekana watoto sio wako na hapo alipo kakosana na mwenye watoto ndio maana unakuletea manyoka nyoka, pia vipi mchezo anakupa vizuri? USICHEZE NA CHATU.
  9. uvungu

    Wanawake wengi wamekuwa jeuri siku hizi tatizo ni nini ndani ya ndoa ?

    Mi yashanitokea nipo katika hatua za mwisho za kumalizana naye pumbavu kabisa Hawa watu hasa Hawa wanawake wa kikristo vile vyeti vinawalewesha Sana na vinawapofua macho nilichoamua mm Ni kuvitia Moto tu nikamtumia picha whatsup sipendi dharau
  10. uvungu

    Tetesi: Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje anahaha kuonana na Mkulu ili wayamalize

    Sijaelewa kwa hiyo nchi hii ukituhumiwa kwa rushwa ili Mambo yaishe lazima ujipendekeze kwa mkulu ndio Mambo yako yanaisha au unatakiwa ukajitetee mbele ya mahakama? Mbona Kama mleta post unaidhalilisha taasisi kuu.
  11. uvungu

    Tetesi: Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje anahaha kuonana na Mkulu ili wayamalize

    Sijaelewa kwa hiyo nchi hii ukituhumiwa kwa rushwa ili Mambo yaishe lazima ujipendekeze kwa mkulu ndio Mambo yako yanaisha au unatakiwa ukajitetee mbele ya mahakama? Mbona Kama mleta post unaidhalilisha taasisi kuu.
  12. uvungu

    Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

    Nadhani hajui Kuna watu tukikutia roba ya mbao hutoke Hadi shingo inaoza we muache tu ili tupate stori nyingine ya mauaji
  13. uvungu

    Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

    Dudu la yuyu limemnogea lazima atalifuta Ni sawa na kula nyama ya binadamu Tena Bora aachane na jamaaa
Back
Top Bottom