Hapo acha kinyaa kula mzigo kiroho safi ila kama ulikuwa na mipango naye futa mipango hiyo ila huduma ya mzigo iendelee kwa amani mpaka pale utapata mwingine
Angalia sehemu kwenye bible ambayo inaruhusu hilo kama hamna? acha kutafuta visingizio vya kuhalalisha kutokwenda kwako kanisani, Mi binafsi huwa siendi kanisani lakin point yako ni weak mno
Kuna watu wanashindwa kukuelewa mkuu, Yaani mtu anayeingiza labda milioni 20 kwa mwezi anampeleka mtoto shule ya million 5 kwa mwaka kwake anaona amempeleka shule ya gharama ndo maana wanaropoka tu, ila wanatakiwa kuelewa mlengwa wa maada ni nani? Kwa ufafanuzi ni yule mzazi ambaye anapambana...
Kwakweli sio sawa tena baba wa mtoto hayupo na yeye Mungu amemjalia kipato kidogo ila basi Mungu atusaidie ni ngumu kulea mbegu ya mwanaume mwenzako huku unajua ila kwa ambaye baba hayupo wala sio ngumu
Kwakweli watoto wangu watanisamehe, kuoa ntaoa ila kama sipati nlichokifuata then najikataa tu siwez teseka duniani kwa kitu ambacho naweza kufanya maamuzi mengine
Nimesema akilia lia hovyo namuachia mama yake amnyamazishe kwanza koz ndo anaelewa huenda ni njaa au mengine ila kelele zingine tutapigishana mpaka mama yake mwenyewe atammisi
Akilia tu namwita mama ke sembuse kumsafisha? labda mazingira yalazimishe lakin akiwa hapo na yupo vizuri aah! sitak mazoea hata kidogo, huyo ni mm binafsi sisemi ni jambo mbaya kufanya hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.