Recent content by utopolo og

  1. utopolo og

    Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Hapo inabidi ununue godoro lenye water proof
  2. utopolo og

    PreGE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    Twende na Lissu..... Mugabe katuchelewesha sana
  3. utopolo og

    Naomba kufahamu juu ya biashara ya stationery

    Mzee ni Bora utembeze matembele kuliko iyo biashara ya stationary...
  4. utopolo og

    Manara arudishwe haraka kabla mambo hayajaharibika

    Zungu ndo mfuga majini pale Yanga. uongozi umrudishe haraka
  5. utopolo og

    Kuna kamchezo fulani unatumika wachezaji wa timu pinzani kuumiza wachezaji wa Yanga

    Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na Simba ipate angalau mteremko kwwnye mechi ya watani wa jadi. Benchi la ufundi la Yanga lina kazi...
  6. utopolo og

    Yanga wana anza walipoishia msimu wa mwaka jana. Bado tutaona mengi zaidi ya hizo card nyekundu

    Hata mimi nimeona, muda mwingi alikuwa anacheza rafu zenye lengo lakuumiza ili apewe kadi nyekundu. Bahasha inafanya kazi
  7. utopolo og

    Hezbollah wafanya shambulia la kuvizia kwenye jeshi la Israel mpakani. Sasa Firimbi ishapulizwa

    Mkuu huu uchambuzi wako hapa umeongozwa na mahaba/udini
  8. utopolo og

    Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

    Mkuu 🫡
  9. utopolo og

    Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

    Defence ya Yanga inapitika kirahisi sana, ni umakini mdogo wa washambuliaj wa KMC ndio umepelekea clean sheet kwa Diara leo. Ukija kweny build up hapo ndo tunazidi kupotea.. Mpinzani akipaki bus kwisha habari yetu.. tuna bakia kupiga back pass tu muda uende
  10. utopolo og

    Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

    Mkuu hebu waambie hawa watu, Nilichogundua mashabiki wengi wa Yanga hawapo tayari kuikosoa timu yao hata pale inapofaanya vibaya na ukiikosoa unaonekana wewe ai mwenzao
  11. utopolo og

    Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

    Sizungumzii matokeo, Performance wise timu yetu ime drop kwenye mechi za hivi karibuni, na iyo ni ishara tunaelekea kusikofaa.. Time will tell
  12. utopolo og

    Yanga imekata moto, Ijiandae kwa vipigo

    Huyu mzee naona makocha wa hapa bongo mbinu zake wameshazijua
Back
Top Bottom