Nashangaa sana anaowasikiliza hawa wanafki. Pole pole aseme tu hajaridhika kuwekwa mbali na meza kuu. Ivi kiasi kile cha utekaji na mauwaji yaliyotokea wakati wa jiwe uyu yeye hakuyaona? Kuna watu wamepotea wakati wa utawala wa jiwe mpaka leo haijulikani walipo watu hao mbona hawakusema ?
Ai ni silaha hatari inayotumika kupiga vita moja kwa moja na kusambaratisha uwezo wa kufikiri wa mwanadamu,Dalili hizi zinaonyesha Dunia itaendelea kutawaliwa na watu wachache kwa muda mrefu sana
Sababu ya uwongo,mbona Iran kipindi cha mfalme shaha haikuwa Ivi? Useme tu hao waarabu na Irani wapo mikondo tofauti ya kisiasa kama south Korea na north Korea
Hoja za kusema dini ndio inadumaza uwezo wa kufikiri na maendeleo ya mwafrika ni hoja dhaifu mno tena zinatakiwa kupingwa vikali sababu zinalea na kuficha madhaifu yetu ya kweli. Kwanza Ukitazama 80% ya jamii zote duniani dini wamerithi tu kutoka kwenye jamii nyingine kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.