Recent content by uta pradesh

  1. U

    Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Wamepoozwa kwa Mama kuwa demoted kutoka kuwa First Lady hadi kuwa MBUNGE WA VITI MAALUM. MTU UMEKAA IKULU MIAKA KUMI BADALA YA KUKAA KWA HESHMA YAKO NYUMBANI KUTULIZANA NA FAMILIA, UNAKUJA KUPIGIZANA KELELE NA WABUNGE. THIS IS DEMOTION..!!!
  2. U

    Tume ya waziri Nape ni Useless..

    Davdi Bashite is untouchable. Huyu ni Mungumtu kwa mkuu wa nchi!!! Mkuu wa nchi kaufyata... Mtu ana vyeti vya kuazima unamkumbatia at the same time unajidai eti unapambana na watumishi wenye vyeti feki kweli??? Kuna watu wameachishwa kazi kwa sababu ya vyeti na watachukuliwa hatua nyengine za...
  3. U

    Zitto: Waliomsindikiza RC Makonda ni walinzi maalum, kibali hutolewa na Rais au DG TISS

    Mkuu wa nchi kumfukuza kazi Bashite anapata tabu Sana kama mwanaume aliyezoea kulala na housegirl wake anaposhindwa kukubaliana na mke wake kumwondoa baada ya kuona mambo hayaendi ktk ndoa .
  4. U

    CHADEMA yaendelea kufanya makubwa Arusha

    Ashe naleng' chadema, tutachagua nyinyi tena na tena Arusha.
  5. U

    Mzee Arfi si mwanachama wa CHADEMA tangu mwaka 2014

    Chadema ni chama chenye watu makini wenye high reasoning ability, sio kila kitu ndio mzee!!!
  6. U

    Wabunge wa CHADEMA wamewafundisha CCM

    Safi sana makamanda wa Mara. Endeleeni na hyo bhita Nzuri mura!!!
  7. U

    Peter Msigwa: Ujio wa Katibu UN, Rais amepoteza fursa kimataifa!

    Ung'eng'e na issue ya Zanzibar ni shidaaaaaa.....
  8. U

    Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Serikali ya ccm inamwogopa Tundu Lissu kama UKOMA kwenye masuala ya sheria. Hii ni kwa sababu alishaipiga serikali kwa knock out kesi lukuki. Na akifanikiwa ku-take over, utakuwa mwisho wa serikali ya ccm kukanyagakanyaga sheria. Mambo mengi yamekuwa yakifanywa kinyume na katiba na sheria za...
Back
Top Bottom