So kweli ila kwenye mfumo mbaya tu wa serikali na watu. Ingekuwa hivyo tusingekuwa na akina Einstein Oppenheimer na wengine. Hivyo ni misemo ya kibongo tu maana hakuna watu wa kuwashauri.
Kila mtanzania ni kaka ama dada yangu. Maishan mwangu huumia sana nionapo ndugu zangu waumia. Nionapo fujo moyo wangu husononeka naombeni ndugu zangu tuitunze amani.
Ijapokuwa tu wa dini tofauti tusiweke mbele dini bali upendo kwanza kwani hilo ndilo la Mungu yeyote apiganaye akimtetea Mungu...
If I were the Devil I would gain control of the most powerful nation in the world;
I would delude their minds into thinking that they had come from man's effort, instead of God's blessings;
I would promote an attitude of loving things and using people, instead of the other way around;
I would...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.