Recent content by ustadhjuma

  1. U

    Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Wamepigwa navijana waliokuwa ofisi za cdm napolisi wamewakamata vijana wa 5 sasa hivi nishwari
  2. U

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Mnatia hofu yabure hamnajipya atakalo ongea ambalo watanzania hawalijuwi nawala hawezi kuivuruga ukawa hana tofauti pr.lipumba wite wlikaribishwa ktk vyama vyao naleo wakitaka kuondoka ruksa mbowe na maalim sefu ndo kilakitu msihofu msihofu kabisa
  3. U

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Wote 2slaa na lipumba wanauchu wa madaraka walitaka wagombee wao urais kupitia ukawa kila mmoja kupitia chama chake alikuwa na matumaini ujio walowasa umewachanganya hawana jipya
  4. U

    Baraza Kuu la Uongozi la CUF latoa Masharti Magumu kwa CHADEMA katika nafasi ya Mgombea Urais

    Nilisema tatizo nilipumba anataka apewe yeye nafasi ya kugombea urais nibora cdm wawapuuze cuf nawafanyemambo yao lipumba hakubali anamatatizo saana
  5. U

    Nampa kila anachostahili mke wangu lakini sina amani na ndoa yangu

    Uliowa mwanamke asiekuwa namapenzi yakweli nawewe ushauri wangu kuwa mtulivu mfanyie yote yanayo stahiki kamamkeo kamaunakiasi chako cha pesa usimuonyeshe ficha kabisa huyo hakupendi tafuta anaekupenda ukisha mpata huyo muache atakukumbuka
  6. U

    Swali: CUF uwepo wenu UKAWA mtapoteza kipi hasa?

    Tatizo sio udini tatizo nilipumba anauchu wamadaraka
  7. U

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Mungu alimpa mwanadamu akili nabwana wakili ni elimu nabwana wa elimu nihekima unapo pata akili naelimu kubwa halafu mungu akakunyima hekima unakuwa mtu wamatatizo nafikiri lipumba alitakiwa atumie hekma ktk umojawao waukawa nahekmayenyewe nihi hapa alitakiwa kujuwa kwamba hata cdm...
  8. U

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Jambo lipo wazi cuf wana nguvu zanzibar chadema mbona hawajataka kugombea kiti cha urais cdm waliacha kwa sababu zanzibar cuf wananguvu nabara cdm wananguvu kuliko cuf wanahaki yakutowa mgombea urais nakupata viti vya ubunge vingi kwasababu wananguvu lakini kwatamaa yalipumba hajali yote...
  9. U

    Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    Tatizo sio wanachama wa cuf tatizo ni lipumba bado anataka agombee yeye urais kupitia ukawa nahata kubali mtumwengine agombee kwayeye nibora ukawa ivunjike au atajitowa tatizo jingine wanachama wacuf wanamuamini saana hawajugunduwa kama ana matatizo kazi ipo
  10. U

    Mwezi umeonekana Saudia

    Unaekula leo unakula ndani ya ramadhani
  11. U

    Mwezi umeonekana Saudia

    Nawewe unaekula leo ndani yarmadhani
  12. U

    Kutokuwepo kwa CUF kwenye kikao cha UKAWA kunaashiria nini?

    Naanzakuamini maneno zito kuwa watu wana uroho wa madaraka jambo jingine wanagombea majimbo wakati wakipewa kila mmoja majimbo 100 yauchaguzi wote hawna uhakika wakuyapata yote hivi wanamtatizo gani au ndio asili ya makabila yao niubishi tu
Back
Top Bottom