yule jamaa anaumwa sana kuona uharibifu wa mazingira
akienda kwenye viwanda mambo utayasikia hadharani...
kama wachina ukiwambia jamaa anakuja huwa wanaogopa kama nini niliwahi kuingia kiwanda Fulani nikawambia jamaa akifika hapa vipi walifurahi sana vibarua wakisema hapa akifika husimamia hata...
kama Kweli huyu jamaa alifanya kazi NEMC miaka kama mitano tu sasa hata mtoto anaijua NEMC inaahughulika na nini na kuna idara nyingi sana za serikali ambazo zimelala ...Leo ilikuwa ni makosa sana kuokoteza majungu na kumuondoa badala ya kumuongeza nguvu ...
MGOMBEA urais wa CCM leo ametua katika wilaya ya TARIME na kukutana na dhahama ya wagombea wake wa UBUNGE kuzomewa ovyo katika majimbo yote mawili jimbo la TARIME VIJIJINI analogombea ndugu CHRISTOPHER RYOBA KANGOYE hali ilikuwa si shwari baada ya kangoye kuzomewa na watu kuimba kuwa...
kubwa zaidi ni kuwa polisi watatuletea machafuko Kwa Kweli mimi sielewi Kwa nini waafrika huwa tunakuwa na ujinga sana wa kutotaka kupisha kwenye nafasi zetu kistaarabu tunataka kuleta machafuko yasio na msingi
umejitambulisha mapemA sioni haja ya wewe kupata majibu ya maswali uliyotuma kwa mantiki ya kujipima uwezo wa kejeli chokonozi subiri siku CHAMA chako cha AGIZO LA CHAMA TAWALA -ACT kikipata angalau DIWANI ndio muanze kuhoji wapi Chadema imewahi kukosea
pili undeni ukawa yenu n ccm msisumbuke...
zitto ni ------- iko siku ukweli utakua wazi, na hata ukiangalia ccm wanavyomshangilia utajua kwamba kuna jambo, nilikua napitia twitter za huko nyuma sijaona hata siku moja ametweet kuhusu chadema lakini sasa kila dakika picha twitter kuhusu act,
mna kelele sana nyie ccm b subirirni uchaguzi alafu mtajua kufungua akaunti nyingi kwenye jf alafu unaanzisha mada na kuchangia mwenyewe sio kura. mtapoteana mpaka mtashangaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.