Recent content by usomdudu

  1. U

    JamiiForums Tanzania INSIDER MAN, MAN OF THE MOMENT!!!

    Ni ukweli usiopingika jamaa kwa hizi wiki mbili ameiteka JF. Ukitaka kuprove hili angalia reaction ya watu pale aliposema amesitisha story yake. Unaweza kuwa na story nzuri lakini ukashindwa kuipangilia ili ieleweke ila jamaa ameweza. Naamini akiimaliza tutapata kujifunza machache (kwa wale...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nimemtongoza ila kanijibu nisimpende

    Tunaona/olewa ili kupata wasaidizi katika familia zetu including kuanzisha familia. Unategemea mwenzi wako ndio atakua chanzo cha furaha na amani yako ya moyo lakini kama pamoja na kujitahidi kote huko bado habadiliki na kuleta maelewano ndani ya nyumba huyo tena hakufai. Kinachotuumiza wanaume...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kauzi katamu sana, unajua kusimulia mkuu [emoji1534]
  4. U

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto wa kiume yamekua magumu kuliko yale ya watoto wa kike

    Miaka ya nyuma ilizoeleka/ilikuwa ni ngumu sana kulea watoto wa kike kwenye jamii zetu ukilinganisha na watoto wa kiume. Jamii ilikuwa na hofu kwamba anaweza kurubuniwa na wakora wasiofaa akaishia pabaya kuliko namna mtoto wa kiume alivyokuwa anaonekana. Mambo yamebadilika sana kwa sasa na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

    Mkuu wewe ni mwamba [emoji1430][emoji1430] Ila toka mama J aanze kuachiwa kodi ya meza imeshafika bei ya Fuso [emoji3]
  6. U

    JamiiForums Tanzania Fumanizi la mama mwenye nyumba

    Mkuu umeikatia kwenye CHORUS kabisa sio fresh [emoji3]
  7. U

    JamiiForums Tanzania Utalipwa kulingana na huduma uliyotoa

    Safi sana mkuu, hata hivyo hakutakiwa kupata hata nauli [emoji706][emoji706]
  8. U

    JamiiForums Tanzania Big up Deep Pond

    Jamaa ni msimuliaji mzuri sana wa visa/mkasa humu jukwaani. Ukiwa unasoma andiko lake pamoja na content anayozungumza lakini mpangilio pia huwa uko vizuri sana. Big Up Deep Pond [emoji1534]
  9. U

    JamiiForums Tanzania Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Haka ka jamaa kanatuonaje lakini? [emoji3]
  10. U

    JamiiForums Tanzania Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Mkuu agiza chochote kwa bili yako [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
  11. U

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Hashim Dogo, Msanii bora wa Hip Hop Afrika

    Verse ya Hashim Dogo kwenye ngoma ya Unique Sisters-Sikiliza [emoji91][emoji91]
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

  13. U

    JamiiForums Tanzania Wasanii Mlio kwenye kilele cha mafanikio jifunzeni kuweka akiba

    Greetings wakuu! Nimesikitishwa sana na kauli ya bwana ROMA MKATOLIKI kwamba ameshindwa kumpeleka mwanaye shule kwa kukosa karo kutokana na 'kufungiwa' kwa miezi 6 kutojihusisha na sanaa na BASATA Inawezekana ameongea kutafuta 'public sympathy' na ndo maana akamchkua mtoto wake kwenda naye...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

    Darasa huru Si mchezo Kithatha- hapa alikua na kundi 'Fan With Sense' Twende sasa Unaonaje Bado anatisha Wakueleze Jose masihara Nawapenda Shut up N.k Jose Mtambo hatari, sema tu ni MC aliyekosa nyota tu ya kuhit Jamaa anaandika sana na style yake iko 'unique' kuliko wengine...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Acheze mbali na mke wangu nitaua bila kukusudia

    Kwa uzoefu na hiyo reply ya mkeo tayari watu wameslide
Back
Top Bottom