Recent content by Usokitabu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    Mimi sioni smartness yoyote kwao. Bado handling ya wateja siyo nzuri.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Waziri Mkuu Majaliwa asema Serikali ipo mbioni kuanza kutoa vibali vya ajira

    Hii ni kweli? Mbona Mh. Rais alikwishasema kuwa vibari tayari vimeanza kutolea. Aliongea kipindi alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wanagenzi wadurusu wa lugha adhimu..

    Wewe ndiyo umekumbusha habari ya vifaa hivi, halafu unasema tena kuwa haujui!!! Unasubiri nguli wa lugha tena!
  4. U

    JamiiForums Tanzania BAVICHA watoa siku tatu wapate majibu ya alipo Ben Saanane

    Sijakuelewa
  5. U

    JamiiForums Tanzania BAVICHA watoa siku tatu wapate majibu ya alipo Ben Saanane

    Binadamu hawezi kupotea kwa siku zote hizo katika nchi ambayo hailingani na bara la Afrika. Kwanza kama kuna mtu anamshikilia basi akili ya huyo mtu ina matatizo makubwa sana. Vijana kama Ben ni muhimu kuwepo katika jamii ya Tanzania na Dunia kwa ujumla. Kama kuna mtu kamficha/kumteka ni vema...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Barua fupi kwa ndugu Maxence Melo huko katika kuta za magereza (sehemu 1)

    Max Melo inabidi aachiwe
  7. U

    JamiiForums Tanzania Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

    Siyo kweli. Ziwa Ngozi ni kama maziwa mengine yatokanayo na volkano, hakuna cha kumeza watu hapo.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wale wapo kwenye rank gani?

    Wengine ni private
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia updates

    I don't entertain breaking up of any country large or small.
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia updates

    Why don't they sit down and solve their differences amicably?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa madini: Mgodi wa madini wa dhahabu wa Geita utaleta maafa

    Kinachotakiwa hapo ni tahadhali tu kabla ya janga kutokea. Lakini uchimbaji wa chini kwa chini uendelee kama kawaida. Sababu kubwa ni kwamba uchimbaji wa wazi unaweza usifikie mali iliyoko chini zaidi au setting yake.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Muhongo alinunua magwangala kwa bilioni zaidi ya 150?

    Duuuu, kwani mabaki ya dhahabu ndiyo nini?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Bata bukini yanatotolewa baada ya muda gani kwenye Incubetor?.

    Duuu. Ngoja nione kama nitaweza, ikiwezekana nichukuwe na kwa ajili ya baadae.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Bata bukini yanatotolewa baada ya muda gani kwenye Incubetor?.

    Niko serious aisee ila bei si mchezo. 100000/= kila mmoja inawezekana?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mayai ya Bata bukini yanatotolewa baada ya muda gani kwenye Incubetor?.

    Wazee mimi nataka bata bukini watano kwa ajili ya kula.
Back
Top Bottom