Recent content by usiue ALBINO

  1. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi za Bendera ya Taifa zifutwe katika sakafu za ndani ya Bunge

    Nilishawahi kutafakari juu ya jambo hilo.nikatafakari sana kwanini alama hiyo ikanyagwe? Hiyo ni ishara ya kuisigina bendera.kitendo ambacho ni ishara ya kuidharau nchi husika
  2. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Hivi NHIF ni taasisi ya pesa hadi iikopeshe Serikali tsh 208 bilioni? Waziri husika ajipime!

    Hayo magoli yanayolipiwa ipo siku wote wanaohusika makaburi yao yatachapwa bakora,fimbo,mijeredi. Haiwezekani vituo vya watoto yatima.wazee.ALBINO.wanaishi katika mazingira magumu.huku nyumba za vituo na huduma ni mbaya.ole wao
  3. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Heri yenu mnaotambua na kukubali mapungufu yaliyojitokeza kwenye uchaguzi uliopita.lakini kwa namna moja au nyingine bado haiingii akiliini.ilikuwa vipi mkakubali dhambi hii?
  4. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Ukanusho wa Msemaji wa Serikali hautoshi, Waziri Ndumbaro awajibishwe

    Asante kwa taarifa. Wengine bado tunangoja report ya CAG na matokeo yake
  5. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Hayati Magufuli ni utata mtupu, kila kiongozi anasema lake. Kulikuwa na uzembe

    Kuna Watanzania wanyonge wengi wakubwa kwa wadogo wanaopitia wakati mgumu kabla ya vifo vyao.ni afadhari yeye alikuwa amezungukwa walau na mkuu wa majeshi.Hebu tujiulize.kama mtu aliekuwa kazungukwa na wakuu vipi wengine sisi kina Yakhe? Hebu fikiria wale kina mama wajawazito. ambao mara...
  6. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Bavicha, Deusdetit Soka aliyekuwa mahabusu adai amepigwa sana

    Katika zunguka zunguka zangu,niliwahi kukutana na askari waliokatika kiwango bora sana.kuanzia mavazi yao achilia vifaa vyao.Nikawaomba kupiga nao picha.mmoja aliniuliza kwanini unapenda kupiga picha na sisi Police? Nikawajibu kuwa nimependa walivyo na namna yao ya utendaji kazi wao.kwa kuwa...
  7. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiri Watanzania hawana furaha

    Tatizo ni chawa
  8. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania UVCCM, tafadhali, jifunzeni siasa na muwe wastaarabu

    Are sure this was established by opposition parties?
  9. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ni Mama Mzazi wa Alphonce Mawazo, waliomuua mtoto wake walipwe kwa ubaya wao

    Don't jokes.you Will pass too
  10. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Jamani kama kero basi leo mwanza kuna kero.inasemekana fununu za mgomo zilijulikana mapema.lakini hakuna kilichosaidia mgomo kuendelea
  12. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mwenezi ilivyommaliza Mwenezi na kuibua mapya

    Nimeduwaa sana nilipoaoma taarifa hii.Nikajiuliza maswali ambayo hata kama nitapata jibu bado sitaelewa jibu hilo limetokana na swali gani? Mwisho nikapatwa hasira kidogo tu niseme ile "STUPID" ya mama alipokuwa anapokea taarifa kutoka kwa CAG Mnaofahamu kizungu watwambie maana "STUPID"[emoji41]
  13. usiue ALBINO

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tume ya Haki za Binadamu fuatilieni kauli ya mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha

    Kauli iliotolewa hivi karibuni na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha imenisikitisha sana. Kauli hiyo kwa upande wangu naiona kama ya ubaguzi kwa baadhi ya Wananchi ambao wanamtazamo totauti na fikira zake,jambo ambalo ni hatari kwa afya ya Taifa letu ambalo kwa muda fulani limepita kwenye...
Back
Top Bottom