Wapizani ni wewe nani atkuonyeshea njia wakati unayeumia ni wewe, badirika mwanangu hii nchi wanatuchezea, play your part acha porojo, unafikiri kina slaa, kabwe , ambowe wana shida kama wewe, fight for your life, wao wanatafuta ulaji changamka utaendelea kulia hivyo ngereja anakula na katibu...