sio hapo tu hata mikoani nasikia sio mambo mazuri bora ya kwetu(hq), wanasikia tu kitu fulani tayari kimeshafanyika, mgao mdogo na maelekezo juu, Mikataba inafanywa kwa rushwa tuhuma ni nyingi na wazabuni wanalalamika na kusema wanaichukia GPSA, kwanza wamewatoa wenye uzoefu na kuacha wachache ambao kuweza kuhudumia idara zote inakuwa ni vigumu. HOGERA SIOGOPI WASAIDIE NAO