CAG njoo GPSA makao makuu kumeoza-ufisadi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CAG njoo GPSA makao makuu kumeoza-ufisadi mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by siogopi, Jul 9, 2011.

 1. s

  siogopi Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GPSA-Government Procurement Service Agency;Wakala wa huduma ya Manunuzi ya serikali,

  Makao makuu yako hapa Dar es salaam maarufu kama Bohari, hapa ofisini kuna uchafu wa hali ya juu maana wakubwa wamekuwa wakiishi kama wafalme wakati wafanyakazi wa kawaida wakiwa na hali duni SANA.

  Hali halisi ya hapa ni wizi wa pesa za umma uliokithiri, kuna vikao bandia vingi vya mabosi hasa mwisho wa mwaka wa mahesabu kwa lengo la kujilipa mabaki ya budget, na pesa za mauzo hazipelekwi bank kwa muda mrefu bila taarifa ya kutosha. Wakaguzi wakija wanapoozwa hivyo kuacha uozo ukiendelea kuichafua Idara.

  Wakuu wa Idara hawaelewani kwa maslahi yao binafsi,Idara ya manunuzi(procurement) wanalipana hata bila vikao halali, ni wapi ulisikia kikao kimoja mtu analipwa laki 7 kuanzia mfagiaji hadi dereva?

  Idara ya Finance wao hawaambulii kitu maana boss wao hujilipa mwenyewe kikao kimoja Tshs 1,000,000 (I mill) huku akiwa na vikao kama 3 hadi 5 kwa week. Boss huyu wa Finance kachoka umri na anafanya kazi kwa mkataba baada ya kustaafu huku wasomi kibao hawana kazi nchi hii.

  Kuitoa cheque ya mtu mpaka apate 20% ndo utaona wafanyakazi wanatukanwa kwa nn hawamuandikia flani cheque hasa suppliers wa mafuta.

  Na wale wa procurement wameenda kufanya Evaluation za tender mikoani wamezichakachukua wamerudi na mamiliona ya pesa na malalamiko ya ma suppliers (Waomba tender) yamepelekwa hapo ofisini tena kwa ushahidi wa picha lakini hakuna hatua iliyochukuliwa mpaka sasa.

  Mfano mzuri ni ile Evaluation ya Tender Morogoro imepitishwa kwa rushwa na ushahidi wa picha upo ila hakuna hatua iliyochukuliwa
  Sijui kama CAG huwa anafanya kazi hapa vizuri maana mambo yanaonekana hata kwa macho matupu, aje akague madeni atashangaa maana yamelipwa mengi ila Mabosi wametia mifukoni na Vitabu vinaonyesha madeni ni makubwa sana.

  CAG karibu sana maana tutakupa ushirikiano

  Naomba kuwasilisha
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  of course na PCCB
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hivi kazi ya takukuru ni nn vile? Mana utasikia uozo wa wazi lakini wapo kmya au nao wanalambismwa?
   
 4. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Tanzania au?????!!!!!!!!!
   
 5. s

  siogopi Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni Tanzania hapahapa na baada ya kupata taarifa wanachimba watu mkwara eti watampanishi aliyeandika hapa, nahisi hawajasoma jina langu hapo juu, narudia kuwa ''SIOGOPI'' na ninayo mengi ya kumwaga hapa jamvini hasa kuhusu hii GPSA, Ngoja waendelee kusumbua watu na hamisha hamisha zao za kichina,Nitaingia msituni wakimwaga ugali namwaga mboga, Juzi wamejifanya kukamata vijana wa pump za kisima cha Serikali kisa eti 5m wakati wao wamepiga kibao na ushahidi upo,suppliers wa Mafuta wameshanihaidi kunipa ushirikiano kuonyesha jinsi wanavyompa mdau mmoja hapa 20% wakiwa wanaomba Cheque zao, Nimetuma maoni kwenye website ya Serikali nasubiri majibu.
   
 6. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  du!hivi GPSA ipo chini ya wizara gani?mpatie mpiganaji muheshimiwa mama Kilango au mama Shelukindo walipue mjengoni!ndio kiboko ya wafuja mali za umma!unaenda zako mjengoni unamtafuta unamkabidhi udhahidi anasema nao!wala hakuulizi cha jina wala address!ila isiwe majungu tuu na chuki binafsi!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  yanayosemwa hapo ni kweli
   
 8. M

  Mpaki Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Yes! Parachichi wazo zuri hilo kukaa kimya hakusaidii kitu, watanzania tuamke tunapopata data kama hivo 2siuchune! Big SIOGOPI!!
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hizi ni zama za vijana!wafuja mali za umma lazima watie akili!nchi tunasema maskin kumbe inaliwa na wachache!
   
 10. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nahisi namna ya kukunyamazisha ni kukuingiza kwenye inner cycle ya 20%. Ni mbinu inayotumika katika ofisi nyingi hapa TZ. Option nyingine ni kukuchinjilia mbali.
  I cannot imagine feelings za hao vigogo kama wanafuatilia hii thread, supposing ni members au wanaingia kama guest.
   
 11. s

  siogopi Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajua na wanatembea na nakala(hardcopy) kila waendapo na wakikumbuka wanazisoma hadi muda wa lunch, kama dozi 5*5 kwa siku.Vitisho ndiyo vimezidi hapa kazini japo pia nguo zemewalegea kiaina,Ila mmoja alisikika akisema kuwa TAKUKURU & USALAMA WA TAIFA kaikamata labda aje Slaa hapo
   
 12. s

  siogopi Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iko under Ministry of Finance,Nimeshawatumia kwenye email zao na attachment za ushahidi maana waliziomba juzi nategemea watalipua pindi nafasi ikipatikana,Nimewatumia wakali wote wa pale mjengoni bila kujali itikadi zao za vyama
   
 13. s

  siogopi Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wamekamatwa maana wakifika wanapigwa Diesel full tank midomo kimyaaaaaa!!!!!!!!!
   
 14. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  twafaaaaaaaa
   
 15. U

  USIOGOPE Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  GPSA sio mchezo ni sehemu ya kuzoa kila kigogo aliyepo pale, sijui wanafikiri h[​IMG] Edit Postawatoka make wakunyata hizo hela utafikiri wamzaliwa nazo, na bado tutawalipua zaidi ya hayo, nina mpago wa kupublish hizo picha zinavyoonyesha jinsi wnavyochakachua, Haiwezekani kabisa wazee ndio wanofaidi wakati vijana ndio hatulali tunafanya kazi. Muda si mrefu mtaziona.
   
 16. howard

  howard Senior Member

  #16
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu ndio uzalendo wenyewe kwa kweli tukipata nyinyi kama 1,000 nchi itafumuliwa yote maana madudu yako sehemu nyingi watu wanakufa nayo tu.
   
 17. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Big up brah,we shuld all have tha same spirit,sio tunaacha wapuuzi wachache wanaitafuna nchi yetu si tunaogopa kuwafichua
   
 18. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi sana mkuu....you've got my support....tupo nyuma yako ukihitaji chochote we sema tu....wakikutisha tunakata funua.....pumbafu zao
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Big up SIOGOPI ata wakikutimua mi niko tayari kuanzisha harambee humu kwa ajili ya hela ya kujikimu mpaka upate ajira ingine.
  Kuna watu wanajifanya miungu watu watu sana bse wako supported na serikali legelege hii.
  Unaweza mkumnguta mtu risasi ivi ivi kwa hasira!
  Vijana ni taifa la leo tukomae ili tushike hatamu!
  Kwingineko wameweza why not us!
   
 20. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #20
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CAG yupi huyu huyu bingwa wa kusafisha uozo?
  Jairo alituhumiwa kuchangisha Bilioni moja kinyume cha sheria, CAG alipochunguza akabaini kuwa pesa iliyokusanywa na Jairo kumbe ni nusu ya hiyo hivyo kwake yeye hilo halikuwa kosa. Dawa yake watu kama hawa ni kuthibitisha na bunge tu ili wakiboronga wamwagwe na bunge. Tumnapojadili katiba mpya tusisahau hilo

   
Loading...