Nimejifunza vitu vingi sana hapa. Kwanza, tuelewe miji yote inajengwa na kodi za watanzania, especially miundombinu na miradi mikubwa ni kodi za wananchi wote wa TZ, so haya majiji yote (Dar, Mwanza na Arusha) yanajengwa kwa kodi za wananchi wa Arusha, Dar, Mwanza, Tanga, Mbeya n.k.
Pili, kila...