Recent content by Usiku utakapo kwisha

  1. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Bililioni 15.7 za NHIF, NBC, DART zafanyiwa ubadhirifu

    Ngoja tuone panapo vujaa, yetu meso tu
  2. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ndugu zangu,ngoja tuone usiku utakapokwisha.
  3. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Ni zipi faida za kutoa mahari?

    Jamii ya kiislamu hawana njaa katika suala la mahari, unaweza ukatoa ata mkeka kanzu, kofiaa na kitabu.
  4. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Nawasalimu kwa jina la Yesu popote mlipo ndani ya Tanzania, Wale wazee wa kampeni ya krataa ndoaa, naomba waje na kampeni ya krataa ushosti.
  5. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

    Mkuu mtangulize Mungu kwa kira hatua maana yeye ndo mwenye funguo za maisha yako
  6. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Sina hisia naye tena, nimjibu vipi bila kumuumiza?

    Soma mithal 14-1_5
  7. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Serikali mbona iko kimya kuhusu huu uchafu
  8. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Boxer nafua mwenyewe kutokana na aibu, sijawahi kumjambia mpenzi wangu

    Na ili mkalitizame ndgu zangu
  9. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

    Kuna leo kuna sasa pia kuna kesho, mshukuru Muumba kwa jinsi alivyokubaliki iwe katka uchumi au afya, hakuna mtu anaependa kuzaliwa katka umaskini ww n kijana bde utazaa mtoto wa kike na mtoto wako ataangukia ktka penzi zito la maskini
  10. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama huyu namuwezaje?

    Tafuta hela kijana
  11. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    Ushauri tumehusikia ila tatizo utekelezaji tu
  12. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mwanaume atakayekuwa tayari kumuoa dada yangu

    2023 ikawe kheri kwake
  13. Usiku utakapo kwisha

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, mwanaume ni mwanaume tu

    To yeye 2023, apewe Jimbo Niko nimekaa pale mpwayungu village.
Back
Top Bottom