Katika kipindi hiki cha hofu kuu ya virusi vya CORONA Wizara inachukua hatua mbalimbali ikiwemo kuwatenga wale waliohisiwa na kukutwa na maambukizi ikiwa ni pamoja na kuendelea kutoa elimu kwa umma.
Sasa nasikia wanasema watu kadhaa wameonekana KUPONA KABISA na KURUHUSIWA.
Je, wamejua hivyo...
wanangu wana miaka miNne sasa tangu kuzaliwa. wAtasoma hadi darasa la saba huko "English medium".
WAtaenda veta/ Tertiary education kwa miaka minne.
Hapo watakua na miaka 18/9 hivi najua watakua full equipped, wAtaenda pambana na hali zao baada ya kuwampa hela ya kodi ya miezi 6 na kuwampiga...
Hivi kama DC alivyomtaka mkandamizaji afike ofisini kwake na huyo aloitwa akasema sina NAULI. Atamtumia? au atamwambia aitafute akiipata ndo aende!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wakati habari za oilcom na CRDB zinaandikwa (2012/4) kipindi hicho ndo kilikuwa cha mwishomwisho Humu cha mijadala yenye tija kwa taifa.
Ila sasa sijui imekuaje humu. Yani mtu akishakula bamia zake kavimbiwa. Anakuja kuanzisha uzi.
uishi miaka mingi Melo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.