Recent content by usedphotocopytz

  1. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

    Karibu Brand Computer Solutions Tunauza photocopy mashine aina zote na zenye UBORA. Tupo Mtaa wa MOSHI NA TUKUYU Dsm ILALA AMANA DAR-ES-SALAAM +255715331233
  2. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

    Mzigo bado upo PHOTOCOPY ZA KISASA
  3. usedphotocopytz

    House4Sale Nyumba (BOMA) naiuza bei poa Chanika Buyuni DSM

    Nyumba imekamilika BOMA lenye vyumba vitatu kimoja masta, mashimo ya choo tayari nishafunika , fensi tayari imekamilika. Naiuza mimi mwenyewe mmiliki hakuna dalali , ina square mita 400 , ipo buyuni chanika kama unaelekea sekondari ya buyuni, sio mbali na barabarabi ni kama mita 100 tu, umeme...
  4. usedphotocopytz

    Photocopy mashine za Kisasa used

    Sasa Tumehamia Ilala amana karibia na hospital ya amana karibu 0715331233
  5. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

    Canon ir2270 inatoa kopy 22 kwa dakika.. inageuza ,inaprint,size zote mpaka A3,black only... bei maelewano yapo zinaanzia 2.200.000 tshs...copy zilizopiga nimeweka picha.. sema hapa kila nikiweka picha zingine hazionekani sijui why..maybe nielekezeni nakosea wap. Video nimeweka tiktok njoo uone...
  6. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

    Bei zinatofautiana kutokana na ukubwa wa mashine na ufanyaji kazi wake halafu pia bei maelewano yapo. Bei zinaanzia 1.200.000 tshs mpaka 2.800.000 tshs inategemea na mashine. Muhimu kama unataka tuambie unataka kwa matumizi yapi ili tukupe ushauri mashine inayokufaa. Bei hatuwezi kuzipost hapa...
  7. usedphotocopytz

    Badilisha Mikanda ya Zamani VHS kuwa DvD

    Huo mkanda una zaidi ya miaka 10 mwenye aliomba ata ukipatikana dakika 10 atashukuru..lakini tuliokoa masaa matatu. Alifurahi sana anaonesha familia sasa
  8. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopy mashine DSM Ilala

    Tunauza photocopy maahine aina za canon zenye uwezo tofauti tofauti . Tupo ilala Dsm amana . Sio tu tunakuuzia pia tunakufundisha kuitumia na kuifanyia service mwenyewe bila kuita fundi kwa zile service ndogo ndogo. Kwa wateja wa dsm unaletewa mpaka kwako na wa mkoa tunapeleka mpaka stendi ya...
  9. usedphotocopytz

    Badilisha Mikanda ya Zamani VHS kuwa DvD

    Je una Mikanda ya Zamani ya video na unataka kuibadilisha ? Tupo kwa ajili yako tunaweza kuokoa kumbukumbu zako ikiwemo harusi..msiba..graduation na mengineyo karibu ofisi zetu ziko dsm ilala amana tunatizamana na kanisa la anglikana mtaa wa moshi na tukuyu,au tunaweza kuzifata ulipo hapa dsm na...
  10. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopier machines zinapatikana bei poa na imara

    Machine za KOPY ZA RANGI zipo pia wasiliana na sisi watsapp uzione zote 0715331233
  11. usedphotocopytz

    INAUZWA Used photocopier machines zinapatikana bei poa na imara

    Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30,Bei zetu zinatofautina na ufanyaji kazi wa mashine na ukubwa wake,tupigie tukupe ushauri ipi inakufaa kwa kazi zako na shuhuli...
Back
Top Bottom