Recent content by usatz

  1. usatz

    JamiiForums Tanzania Nauza mashamba yangu Kisarawe (MASAKI) milioni 2 hadi 3 kwa heka

    Bado Unamashamba ya kuuza Kisarawe ?
  2. usatz

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Pole sana, Mimi ni zaid ya mwaka Sasa niliomba connection hata ya wireless, sijawahi hata kupigiwa Simu, Nashauri Serikali ibinafsishe TTCL Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
  3. usatz

    JamiiForums Tanzania ZD30 VS QD32 NA QD32Turbo Nissan Hardboday

    Nina Nissan Hardbaody J8 ya mwaka 2009, Ilikuwa na ZD30 engine imekufaa. Nataka kuweka Engine nyingine nimekutana na mafundi tofauti Kila Moja anamapendekezo yake ya engine ya kuweka, Kwa mwenye uzoefu kati ya izo ZD30, QD32TI na QD32, Nirudishe ipi wakuu, Sent from my CPH2159 using...
  4. usatz

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League kwenye Visimbuzi vya Dstv na Canal+

    Canal+ TCRA hawawezi kuvifungia ? Maana nacheka lakini naogopa Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
  5. usatz

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mimba, natapika mimi

    Amina Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
  6. usatz

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mimba, natapika mimi

    Hi Hali sielewi kabisa, Mke wangu ANAMIMBA NATAPIKA MIMI, Kisayansi hii ikoje, sielewi kabisa
  7. usatz

    JamiiForums Tanzania Anwani na Makazi zimeishia wapi?

    Wakuu hii Ngoma imeishia wapi au ndo ilikuwa inakaribisha Sensa?
  8. usatz

    JamiiForums Tanzania TANESCO kama wanaona sifa yani!

    Wafanyakazi wa TANESCO Tuna comment wap
  9. usatz

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

    Mkombozi kwenye maswala ya Internet Elon Musk kasikia kilio, anakuja kufanya mapinduzi kwenye UPANDE WA INTERNET TANZANIA SWALI: TCRA na Nape hawata mbana mpka ashindwe ku deliver alichotaka? Asiuze internet kwa unlimited auze kwa data caps? Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app
  10. usatz

    JamiiForums Tanzania Project Management and Evaluation

    Post graduate
  11. usatz

    JamiiForums Tanzania Project Management and Evaluation

    Waku Habarini Mwenye kujua chuo kizuri na chenye unafuu kwenye Ada, naomba anisaidie. Nataka kufanya Project Management, Course, ie, PMP, PrinceII
  12. usatz

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali haina Imani na Wataalamu wa ndani?

    Leo nimesikia kwenye Taarifa ya habari ya E FM radio, 93.7 Dar es salaam. Kuwa Mradi wa Maji uliotolewa na World bank, Mkandarasi ni Mchina. Juzi nikiwa maeneo ya madale niliona wachina wakiwa wanasimamia uwekaji wa mabomba ya maji maeneo hayo. Swali ni kwamba? 1. Serikali haina imani na...
  13. usatz

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Wapendwa hali zenu? Naomba kujua namna na ni kiasi gani ninaweza kupata uwakala wa Mpesa, Tigopesa na Airtel money. Tayari nimesha sajili jina la biashara, lesen na Tin. Niko, Wilaya ya Ilala, Kata ya Msongola, Mtaa wa Mvuleni, Dar es Salaam.
  14. usatz

    JamiiForums Tanzania Je, pesa zilizofungwa vizuri kwenye nailoni ndani ya ndoona kufukiwa chini ya ardhi, zinaweza kuliwa na mchwa?

    Broh, Kuliko uzifukie, Niazimishe nizungushie Maisha Tuandikishane kisheria kabisa.
  15. usatz

    JamiiForums Tanzania Halotel, Airtel na TTCL nani Kitonga zaidi kwenye data?

    Watumiaji wa Halotel Airtel TTCL Embu nihabarisheni bundle zikoje za Data tu zile za mwezi Vodacom na Tigo nimeshindwa
Back
Top Bottom