Hivi unadhani uko sahihi
Hivi hujui kama kila goti litapigwa.......
Hivi hujui kwamba duniani hakuna haki
Hivi hujui kwamba Mungu atawalipia waliodhulumiwa
Hivi hujui kwamba Mungu ana adhabu kali saana.
Hivi alikwisha ungama
Mh.Polepole alianza na the wrong foot ktk hizi dawa kutoka Cuba
Tell you what....huu ndiyo mwisho wake wa kisiasa....haijawahi kutokea Balozi nje ya nchì kutoa maagizo kwa wananchi walioko nyumbani.
My friends....
Mara tu baada ya change of guard huku kwetu,Rais anakuwa Mungu binadamu,hakuna sheria wala katiba inaweza mgusa.
Hivyo basi hakuna haja ya kumpa maua The Late MagufuLi kwa kuwafunga midomo Machedema.
Upendo Peneza.......
Huyu Mh. angekaa kimya ili aonekane ni mwenye busara.
Yeye sio mrembo wala kisiasa kama Mh. Mdee lakini aone jinsi Mdee alivyopotezwa mpaka sasa anaomba POO kwa kuhudhuria mambo ya kijamii huko kwa kina MBOWE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.