Recent content by Uruguay

  1. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Viongozi wa BAVICHA Taifa - Mlimani City, Dar

    :peep::peep::peep::peep::peep:
  2. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa vijana CHADEMA (BAVICHA) taifa ni mpambano mkali

    :angry::angry::angry::angry::flame:
  3. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa vijana CHADEMA (BAVICHA) taifa ni mpambano mkali

    :llama::llama::llama::llama::llama:yaliyomo yamo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,mbwembwe kumbe nao walikuwa wanautaka
  4. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Mheshimiwa Dr. Slaa

    Email ya dkt slaa ni wslaa@hotmail.com kwel?
  5. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    ACT ni uchuro mtupu
  6. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

  7. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Mawazo ya kisaliti lazima niyapinge kwa nguvu zote
  8. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Alitangaza nia ili apewe mpunga auze jimbo kwa nchemba
  9. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Nakusikitikia hukumjua mapema rangi yake halisi,huyu ni mtu hatari sana
  10. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Mkuu kitila ana uchu mkali wa madaraka hivyo hawezi kukujibu chochote
  11. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Kaa kimya gamba wewe huna hoja
  12. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Nashukuru umekubali ACT mlikutana na Shaban limyo
  13. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Kitila,Hongera kwa kujitokeza mkuu,toa ufafanuzi juu ya haya;- *Ni mazunguzo gani yaliyopelekea kupeana vifaa vya ACT ambavyo vilipelekwa Iramba tar 6 mwezi huu na kukabidhiwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Ndago alietimuliwa na CHADEMA na kuhamia ACT(kwa sasa ndie katibu wa ACT Iramba)...
  14. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Singida kuhamia ACT soon

    Makamanda Jana asubuhi nilileta uzi unaosema(m/kiti cdm mkoa wa singida avuruga uchaguzi iramba)sasa leo naweka wazi mipango yote michafu iliyoandaliwa na Kitila Mkumbo na Shaban Lyimo(m/kiti cdm mkoa wa singida) Wakati wa kikao cha halmashauri kuu ya ACT kilichofanyikia singida mjini ndg...
  15. Uruguay

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA Iramba aibu tupu

    NILIWEKA THREAD MBILI((kitila,mwigulu wavamia uchaguzi chadema,,pia uzi usemao m/kiti wa mkoa singida avuruga uchaguzi iramba)) HAPA JAMVINI ZIKILENGA KUTOA TAARIFA JUU YA UHUNI UNAOANDALIWA NA KITILA PIA MWIGULU JUU YA UCHAGUZI WA CDM IRAMBA SASA MATOKEO NDIO HAYA >Mshindi wa nafasi ya...
Back
Top Bottom