Recent content by Urojogang

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mapungufu ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano

    STUPID “Only simple minds discuss people” muwe great thinkers great minds leteni ideas za kuleta maendeleo katika nchi. Yaani muwe Na vyeti feki muuze madawa ya kulevya muangaliwe tu? Nyie akina nani??? Huyo mwendazake ndo size yenu hata mumseme ubaya kiasi gani aliwanyoosha mabwege kabisa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi Muadilifu, Wanaomchukia ni amma watu 'madhalimu' au wenye 'Husuda'

    Waliomzunguka ndo wana tupa picha kama ni muadilifu au la siyo mleta mada. Sasa watanzania ndo wajuwao suala la uwadilifu wake siyo nyie wasomali.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    Mleta mada una maana hiyo ndo maana ya kufungua nchi ambako tunaelezwa kila siku na wanufaikaji wa wanamtandao?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    Tutakuwa Manamba tu wa kuzalisha gesi watu 7000. Hakuna la ziada hapo na kulipa mikopo ya uwekezaji huo. Mzungu yeye ana Cheka tu hela inaingia mfukoni ulaya. Tutabaki kuomba misaada miaka yote kwani tumelaaniwa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Equinor / Shell yasaini mradi wa thamani dola bilioni 30

    Kwa ufupi bila kumungunya maneno watanzania tumepigwa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Asante dadangu ila sasa hilo bomba la gesi limetupa faida ipi wabongo kwenye upatikanaji wa Umeme wa bei Nafuu?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Usisahau:- 1. Vyet feki kudhibitiwa 2. Mikataba ya hovyo ya wizi wa raslimqli za wananchi kurekebishwa kama Madini 3. Watumishi hewa 4. Miradi yenye tija kwa nchi badala ya marupurupu ya hovyo kwa safari na mikutano I siyo Na tija. 5. Kukomesha mafisadi 6. Kukomesha madawa ya kulevya 7...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hints za January Makamba kuhusu mafuta na Gesi Tanzania

    Mkataba huu wa awali sijui kama ulikuwa sahihi kuukimbiza kwa haraka kwetu wananchi Na kuhudhuriwa Na mheshimiwa rais kwani bado haujaweka manufaa ya moja kwa moja kwa serikali yetu ukiacha qualitative information kama vile Ajira Na gharama ya uwekezaji iliyotajwa. Watanzania wanahitaji...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Changamoto kwelikweli 😊😊😊tunajenga nchi yetu hakuna jinsi.
  10. U

    JamiiForums Tanzania DRC: Wanajeshi walinda amani wa Tanzania wajeruhiwa katika mapigano na M23

    Akili za kitoto...vita ni pesa. Katam’s Anayopesa ya kupigana vita kwa mwaka 1 bila ya Kuomba a pooo?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Wewe uliyefaulu umejenga viwanda vingapi?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Rungwe ni sehemu tu ya wazee wengi wapumbavu ktk nchi yetu. Apuuuzwe.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Hashim Rungwe ni sehemu ya vyeti feki 🇹🇿. Mpuuzeni.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

    Hi huyu nipa kaishia darasa la ngapi kama kuna mtu Mwenye cv yake aiweke hapa.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Rais Samia ni kwasababu ni mwanamke

    Atatue shida za wananchi msituletee upuuzi wa mambo ya jinsia yake.
Back
Top Bottom