1. ChatGPT - Ni tool ya mazungumzo inayotumia teknolojia ya artificial intelligence (AI) kutoa majibu, msaada, na ufafanuzi kwa maswali mbali mbali. ChatGPT inaweza kukusaidia juu ya maswala ya elimu, kujifunza kutumia programu za kompyuta, ushauri wa kibiashara, au hata kujibu maswali ya kila...