Hivi huyu msichana alifanywa nini na Diamond? Hii chuki si ya kawaida

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,803
12,666
Wazee si jambo jema kuleta hii kitu hapa ila anayejua afunguke huyu manzi wa pale Mawingu alifanywa nini na Mzee Almasi? Maana hii chuki si ya kawaida.
Screenshot_20191230-064000.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameweka ili apate chakwenda kupigia umbea kwenye korido za mjengoni. Hawamuongelei kwenye mic ila bado wanamuwaza na kumfuatilia hakika kweli mti wenye matunda ndio upigwao mawe!
 
Kumridhisha kila binadamu ni kazi kubwa sana wengine wanakuchukia tu sababu umefanikiwa kuliko wao na wamejaribu kukushusha wameshindwa binadamu ndivyo tulivyo hasa AFRIKA kuna watu wana roho za husda sana kwenye mafanikio ya wenzao
Ndo wale wanaosema unawatimulia vumbi wakati unachezea Maji ziwani
 
Ni kwa sababu ya nguvu mtandao alionayo Bwana mdogo
Anatafuta ugali wake
Vi comments, vi likes, followers na vimatangazo IG. Jumlisha subscribers na viewers wa ki channel kipya kule YouTube.
Ili uvipate vyoote hivo kwa hapa Tanganyika kwa asilimia kubwa Kama hauna content za maana Kama za kina Millard Ayo. Lazima u deal na huyo kidi
 
Huyu bi dada tunaachana nae kwa maana ni vigumu yeye tu kujaribu kufikia level za Tiffa! Ana followerz tu wengi lakini hatengenezi biashara kupitia hao followerz ,yaani page yake anaigeuza gazeti la udaku
 
Binadamu asiye wa kawaida atapendwa na watu wote! huyo hakuumbwa na Mungu, fikiria Mungu wa Sabato, muumba mbingu na nchi na wote mliomo, anachukiwa, hapendwi na baadhi ya wakatoliki, walokole, sembuse Diamond!
 
Back
Top Bottom