Recent content by URBAN MONKEY

  1. URBAN MONKEY

    Tundu Lissu wamuachie huru, na mambo mengine ya kushughulika na wahuni yaendelee

    Mkuu kunani tena umechungulia nin jikoni huko?¿
  2. URBAN MONKEY

    Tetesi: Kamati Kuu CCM kukutana usiku huu. Wajumbe wanaletwa kwa ndege na helikopta

    Unachoongea mkuu ni kweli mida ya jioni nmeona helkopta za ccm zinapita kwa wingi dodoma
  3. URBAN MONKEY

    Ujumbe huu uwafikie Watanzania wote wapenda amani

    Acha ujinga wewe lizee ,acha tujikomboe sisi vijana
  4. URBAN MONKEY

    GE2025 Elisante: Kutoa kanga au chakula ni rushwa wakati huu wa kampeni

    Baiskeli na pikipiki hazioni za kimama
  5. URBAN MONKEY

    Polepole na Nape ni wajasiri, wamegoma kufa na siri moyoni, ndio maana wanasema ukweli

    Kwakwel kila mmoja hebu ajaribu kuongea na familia yake na ndugu jamaa na marafiki watu wajue CCM inavyotufanyia itasaidia kuiangusha ccm ikose support
  6. URBAN MONKEY

    GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    Kabisa nchi imeoza sana yani sana kwakweli mabadiliko yafanywe CCM ichutame nyeti zake zimefunuliwa zipo wazi
  7. URBAN MONKEY

    Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

    Acha mambo yako ww kwahyo kulinda nchi ndio aunge na CCM pekee kwann asingeunga vyama vyote ????
  8. URBAN MONKEY

    Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

    Hizi ndio laptop 💻 za kuibia kura kwenye uchaguzi unganisha dot na press ya pole pole
  9. URBAN MONKEY

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Daah! Milioni 500 imelala hivyo ya kununulia ,hapo service hadi chuma ipone milioni 80
  10. URBAN MONKEY

    Nifanyeje kuhusu Ili?

    Acha kihere here ukihitajika utaitwa
  11. URBAN MONKEY

    Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

    😀😀😀 Mambo ya kobazi hao wanajiaibisha sana hadi aibu
Back
Top Bottom