Recent content by UPOPO

  1. UPOPO

    PICHA: Ulinzi wa Rais Samia ni wa Kikomandoo na haujawahi kutokea barani Afrika. Hata sisiminzi hawezi kukatisha

    Alindwe tu kuna nabii kasema anamwona Mchimbi akitangaza kitu na bender nusu mlingoti sasa sijaelewa kivipi Nabii anaitwa Lemo wa kenya
  2. UPOPO

    JWTZ: Jeshi letu ni kati ya Majeshi 6 Bora duniani

    Tangu bi Msumi awe Amiri jeshi sidhani kama tuko huko kwani sasa imekuwa idara ya CCM na sio Jeshi la nchi
  3. UPOPO

    PostGE2025 Jaji Warioba: Serikali ikubali imechangia sana katika yaliyotokea, ni kama sasa wameachia polisi ndiyo inatawala

    Huyu mzee si nilimwona na Samia wamepiga picha ikulu ya Dar .Niliona body language zao zilikuwa mmm no wander amekuja kuongea public inaelekea Samia hakukubali ushauri wake ndio maana amekuja kutoa kumoyo.Sasa tuambie tufanye nini baada ya mauaji,wizi wa kura nk
  4. UPOPO

    TANZIA Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho afariki dunia

    Mungu huwa anajibu faster October 29 Genz waliouwawa na kupelekwa mahospitalini akiwa waziri wa afya akuweza kuzuia wale maaskari wasiwaambie wauguzi wasiwatibu wapelekwe mortuary wakipumua Mungu fundi kweli kweli
  5. UPOPO

    Imeisha hiyo: Kakiri mwenyewe mbele ya vyombo vya habari kuwa ameua Watanganyika kwa kudhamiria

    Kwa kweli sikutegemea alichosema na bado hajaja na kitu kinachoeleweka duu hata wanaomwandikia hotuba ni empty
  6. UPOPO

    Hali ni mbaya: Mkutano wa Chama umefanyikia kwenye mahema

    Dar hakanyagi mpaka D9 ipite watatumwa akina Guys tu huku
  7. UPOPO

    Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

    Nchi hii kuba vituko ,sasa barua ya with sikukuu eee ,ingekuwa polisi sawa .Kwani wangemwambia akaripoti kituo cha pilisi wangeumwa.Sloslow is right kuba wahuni
  8. UPOPO

    Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Halafu kavaa Jeans MLEGEZO kweli unaenda ikulu na Jeans watu wa protocal walikuwa wapi.Polepole katusanua mwweeee
  9. UPOPO

    Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Polepole atakuwa Katibu Mwenezi wa CCM asili na ile ya Wahuni amewaachia akina wasira
  10. UPOPO

    GE2025 Nchimbi: CCM Itahakikisha Katiba Mpya inapatikana

    Mimi naona yupo upande wa wahuni kwani amewekwa na Kikwete kuwa makamu wa raisi ili aendeleze agenda zao
  11. UPOPO

    Huenda H.Polepole akawa na shida kubwa zaidi ya hii kimaadili na kiakili, na huenda mwisho wake ukawa mgumu zaidi ya mwanzo wake katika historia

    Badala ya kusema issue ya akili ya Slowslow jibuni hoja zake otherwise nyie ndio mnaonekana wajinga na akili hazijakaa sawa wananchi wanawashangaa uzuri ni mwana CCM mwenzenu
  12. UPOPO

    Kuna milio kama risasi inasikika Mbezi beach

    Hata mimi nimesikia ,upande wa chini
  13. UPOPO

    Dark days 17/03/20

    Naona kuna code huku zilisemwa Polepole anaendelea kuzifafanua Yooo yooo lisemwalo lipo kama halipo laja natetemeka aisee
Back
Top Bottom