Recent content by UPIU

  1. UPIU

    Prof. Kitila Mkumbo aombwa kugombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

    Propaganda za kitoto si mlisema ACT imeanzishwa na Lowasa, sasa kumbe CHADEMA ndio inafadhiliwa na Lowasa
  2. UPIU

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Uchambuzi mzuri ulichosahau kusema ni kuwa wote ni team Membe
  3. UPIU

    Makongoro anasema watu 15 wanataka kumuua

    Dalali wa Membe
  4. UPIU

    CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    Ni strategy ya mpango wa kuwataka wajumbe wapige kura tatu
  5. UPIU

    Msikilizeni Zitto Star TV

    Naomba ukimuona Saed Kubenea mwambiye tumechoka na fitna zake juu ya Zittokabwe. Watanzania tuna matatizo mengi yeye gazeti zima anajaribu kumfitinisha Zittokabwe na watanzania Kama anaugomvi nae katika mgao amtumie email. Gazeti lake Mawio kwa sasa limekuwa full mipasho tumechoka
  6. UPIU

    Game la harakati za kuusaka urais CCM limerudishwa mwanzo baada ya kuvuja kwa email

    Mkuu jitahidi kujifunza kuandika haueleweki. Hivi hapa ulitaka tukueleweje
  7. UPIU

    Kinana na Nape walipofanya ziara Jimbo la Monduli

    Watch "LOWASSA HATUACHI" on YouTube - LOWASSA HATUACHI: LOWASSA HATUACHI - YouTube
  8. UPIU

    Kwanini Dar siyo ngome kuu ya upinzani?

    Upinzani Wa Tanzania hauna mpya, watu Wa Dar waliuamini upinzani enzi za Nccr Mageuzi. Sasa hivi wapinzani ni wapiga deal. Akinyimwa MTU pesa ndio analalamikia. Kwa mfano suala la IPTL umemsikia Dr. Slaa au Mbowe akilihoji? Kwa nini wanachao na Zitto kupitia amplifier wake Kafulila analihoji kwa...
  9. UPIU

    Hivi taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoendeshwa na butiku na warioba huwa inalipa kodi

    Butiku fisadi anatumia jina la Nyerere kwa manufaa yake. Kuanzia waanze kukusanya michango Ya taasis hiyo inawasaidiaje wananchi Wa kawaida. Tunaona taasis Ya Mkapa inavyofanya kazi. Wamepewa kiwanja chaque Halmashauri Ya Jiji bure kukiendeleza hawakiendelezi wanakidalalia, bure kabisa
  10. UPIU

    CCM yaiponza Ndanda FC

    Mkuu CDM wanakukaribisha kugombea ubunge
  11. UPIU

    Adhabu ya kiburi ni mauti yametimia ndani ya CCM

    Pumba Tupu jaribu kufupisha andiko lako labda ungeeleweka. Bure ka bisa!!!!!!
  12. UPIU

    Wafuasi tisa wa CHADEMA wakamatwa kwa kosa la kufanya usafi bila kibali

    Dah. Jamaa kati ya sehemu zote wameona Polisi. Kweli watundu
  13. UPIU

    Licha ya Afya yake kuendelea kudhoofika, Lowassa afanya ziara Mkoani Mara kupambana na Wassira

    Mkuu humtendei Haki mhe. Kwa kuongelea afya yake. Afya ni mpango Wa Mungu hata wewe mzima unaweza kuwa mgonjwa
  14. UPIU

    Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    CHADEMA katika maandamano haya mnawashawishi Polisi ikiwemo kuwahonga ili wawadhuru wananchi wangapi ili kukipa kiky Chama?Watu Wa idara yenu ya habari wanashabikia kusikia mwananchi kauwawa au kaumizwa ndio news kwao na siyo kutueleza alichosema Mbowe kinamsaidiaje mwananchi Wa kawaida?
Back
Top Bottom